Nov 25, 2015

Idadi ya simu ninazopokea kwa takribani wiki tatu mpaka leo hii ni wateja wa baadhi ya ving'amuzi ambavyo vimekata matangazo yao bila taarifa yeyote kwa wateja wao na kitu kibaya zaidi ushirikiano unakuwa sio mzuri kwa mujibu wa wateja wanaonipigia mimi!


Ving'amuzi vilivyokata ni ZUKU tv.
Ijapokuwa ikarejea hewani ila hakukuwa na taarifa yeyote ama kuwataka radhi wateja wao.
TING nao wakapotea hewani mpaka leo hii na mchezo ni ule ule hakukuwa na taarifa wala kuomba radhi kwa kwa nguvu ile wanayotumia kuuza ving'amuzi!

CONTINENTAL pia hawapo hewani!
Ubaya ambao unatokea hapa taarifa na kuwataka radhi wateja hakuna kwa nguvu ile wanayotumia kuuza king'amuzi na kwa bahati mbaya Continental wana nafasi nzuri ya kufikisha ujumbe kwa umma kupitia Startv ama RFA lakini matangazo yanayoendelea ni yale ya kuuza ving'amuzi!
ANGALIZO TOKA KWA MUSTAPHA MADISH:
Tatizo lililopo kwa Continental na Ting ni satellite waliyopo ya Amos 5:-
Jukumu la makampuni waliyopo Satellite hii walitakiwa watoe taarifa kwa wakati kwa wateja wao ili waendelee kuwa na imani nao kwa maana ipo wazi kifundi tunajua Satellite ya Amos 5 haipo tena imepotea hivyo ili Ting na Continental ni lazima wahame Satellite je watahamia Satellite gani hilo wanalijua wahusika.
Yapo matatizo ambayo huwezi kuyazuia kwakuwa najua vema mfumo mzima ulivyo,yapo ya kuepukika na yapo ambayo hayaepukiki,ila kinachopaswa kufanyika ni kutoa taarifa kwa wakati kwa wateja wenu na kwa umma kwa ujumla huku mkiendelea kutatua tatizo kwa wakati,kukaa kimya kwenu ni kupoteza imani kwa wateja wenu,inaonekana mnatoa huduma mbovu na hii inapelekea kufanya maamuzi ya kuamua kununua king'amuzi kingine!
+255789476655
8:18 AM   Posted by Mustapha Hanya with 13 comments

13 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ni kweli kabisa continental ni shida na hakuna taarifa

Kennedy Ndulumani said...

Naunga mkono hoja yako taarifa ni mhimu kwa Wateja,imetusumbua sana kuhangaika na dish kumbe tatizo lipo hawasemi

Anonymous said...

Nimeita karibia mafundi watatu nao sijui ufundi wao ni wa wapi kwamaana hawajawa na taarifa na hili maana walichukua pesa zangu bila matumaini yeyote Ahsante kaka!
Ila hawa ni wa kuwahama

Joan John said...

New Continental satellite parameters ni kama zilipo ainishwa hapo chini.

Satellite: ABS-3A
Orbital Position: 3 Deg West
DVB-S2
Freq: 11,150 MHz
Polarisation: Vertical
Symbol Rate: 45.000 MS/s
FEC: 3/4
Kwa maelezo +255766249999
wateja wanaotumia antenna una search manually kwa frequency 21 dar

Anonymous said...

New Continental satellite parameters ni kama zilipo ainishwa hapo chini.

Satellite: ABS-3A
Orbital Position: 3 Deg West
DVB-S2
Freq: 11,150 MHz
Polarisation: Vertical
Symbol Rate: 45.000 MS/s
FEC: 3/4
Kwa maelezo +255766249999
wateja wanaotumia antenna una search manually kwa frequency 21 dar

clemence umeme said...

Kweli mfano mimi ni fund kuset. Soon nimepata shida Sana'a. Mteja ananiita nikamlekebidhishie dish.,ni nateseka kumbe tatizo lakwao

Anonymous said...

http://YouthToEarn.com/?ref=200337

Anonymous said...

http://YouthToEarn.com/?ref=200337

Anonymous said...

[url=http://cialis-20mg-lowestprice.org/]Cialis 20 Mg Lowest Price[/url] 20 Mg Cialis http://prednisone-20mg-buy.com/

Anonymous said...

[url=http://cialis-20mg-lowestprice.org/]Cialis 20 Mg Lowest Price[/url] Www.cialis.com http://prednisone-20mg-buy.com/

Anonymous said...

[url=http://cialis-20mg-lowestprice.org/]Cialis[/url] Discount Cialis Pills http://prednisone-20mg-buy.com/

Anonymous said...

[url=http://cialis-20mg-lowestprice.org/]Cialis[/url] Cialis Generic http://prednisone-20mg-buy.com/

Anonymous said...

[url=http://cialis-20mg-lowestprice.org/]Cialis[/url] Discount Cialis Pills http://prednisone-20mg-buy.com/

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search