Nov 26, 2015

RATIBA YA AZAM TV

Ilikupata ratiba ya king'amuzi chako cha Azam tv:-
Chukua remote yako,bonyeza 1- menu..

2- Digital TV
 

3- Programme Guide 

4- Chagua channel unayotaka kupata ratiba yake ya wiki nzima kama inavyoonekana hapo juu! 
 
5- Ikiwa maelezo hayajaeleweka kwamsaada Zaidi piga +255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

mimi ni miongoni mwa wanaokushukuru nilikuwa sijui hii kitu kaka

Anonymous said...

ubarikiwe mkuu asante sana kwahii na mengineyo yote mazuri