Awali hakukuwa na mfumo huu wa vifurushi ila kutokana na uendeshaji na kutafuta maboresho imepelekea kuanza mfumo huu wa vifurushi,katika kumbukumbu za wengi ndicho king'amuzi kilichokuwa quality,channels nyingi ila malipo ya mwezi ni madogo!
Hivi ndivyo vifurushi vya azam tv,idadi ya channel na bei:-
1.AZAM LITE PACKAGE
Ina channel 40+ bora
Malipo ni Tsh 10,000/= kwa mwezi
Malipo ni Tsh 3,000/= kwa wiki
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!
2.AZAM PURE PACKAGE
Ina channel 40+ bora
Malipo ni Tsh 10,000/= kwa mwezi
Malipo ni Tsh 3,000/= kwa wiki
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!
2.AZAM PURE PACKAGE
Ina channel 60+ bora
Malipo ni Tsh 18,000/=
Malipo ni Tsh 7,000/= kwa wiki
Malipo ni Tsh 7,000/= kwa wiki
Bofya Hapa kujua channel zilizopo kwenye kifurushi hiki!
3.AZAM PLUS PACKAGE
Ina channel 90+
Malipo ni Tsh 23,000/=
Bofya Hapa kujua channel zilizopo katika kifurushi hiki!
4.AZAM PLAY PACKAGE
Ina channel 105+
Malipo ni Tsh 28,000/=
Bofya Hapa kujua channel zilizopo katika kifurushi hiki!
5.INDIAN Add-On
Ina channel 15+
Bei tsh 6,000/=
6.INDIAN Bouquet
Ina channel 23+
Bei tsh 16,000/=
5.INDIAN Add-On
Ina channel 15+
Bei tsh 6,000/=
6.INDIAN Bouquet
Ina channel 23+
Bei tsh 16,000/=
- Jinsi ya kuhama kifurushi
- Umelipia na bado hupati picha?
- Unapata ujumbe wa NO SIGNAL ?
- Unapata ujumbe wa ACCESS DANIED ?
- Kuepuka Dish yako kupata kutu
- LNB ni nini?
- Jinsi ya kutumia king'amuzi kimoja kwa tv zaidi ya 1
- Kwanini usilipie king'amuzi chako mapema ili..
- Kupata channel za bure
- Kufunga Azam tv kwenye Hotel, Lodge, Bar, Apartment n.k
- King'amuzi ni nini?
- Unaangaliaje mpira bila malipo?
- Kopo linasaidia nini kwenye Dish?
MSAADA - KIUFUNDI | KUNUNUA | CHOCHOTE KUHUSU AZAM TV |
+255 789 476 655
+255 789 476 655