Jan 15, 2016

Kuna tatizo la baadhi ya makampuni ya ving'amuzi Tanzania kushindwa kutoa taarifa kwa wateja wao kwa wakati kama ikitokea kuna tatizo Fulani au mabadiliko Fulani!
Hii inaathiri sana kimauzo kwakuwa sifa mbaya inakaa muda mrefu na kuvuma kwa haraka kuliko sifa nzuri...!!
Niendelee mimi... kwa wale wateja wa Continental ambao mpaka sasa hawapati matangazo,kwanza poleni na pili fata utaratibu huu ili uendelee kupata channels zako zilizopotea:-
- Search upya auto channels zako zitarudi ama ukiona zimegoma
- Chukua simu yako ingia sehemu ya ujumbe mfupi ( sms ) andika neno ( refresh ) acha nafasi ( namba ya card ) tuma kwenda namba 0764 444 4452,kisha subiri baada ya muda.
- Ukishindwa yote wasiliana na fundi wako ili akusaidie!
10:29 PM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search