Feb 17, 2016


Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:-
Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo kwa muda wote toka kiwe hewani. Lipia king'amuzi chako cha continental kuendelea kupata channels za continental ambapo channel za nyumbani zote ni bure hata usipolipia.
Vifurushi, Siku 7 @3,999/= , Siku 15 @6,999/= , Siku 31 @11,999/= .
 Continental Decoder The quality to talk about
 Kwa Maelezo zaidi +255789476655
8:30 AM   Posted by Mustapha Hanya in , with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Continental vipi mngeweka malipo kamili kama kwa mwezi bei gani hii imekaa kitoto zaidi nfanyenihivy bwana

Anonymous said...

Mbona mpaka z Tanzania mmezifunga kulikoniiiii!?

Anonymous said...

NAOMBA KUJUA NAMBA YA KAMPUNI WAKATI WA KULIPIA KIG'MUZI
VIP MBONA CHANNEL ZA LOCAL NAZO MMECHUKUA?

Anonymous said...

nimelipa shs 4900 sasa hivi kwa kifurushi cha siku 7 lakini majibu siyaelewi,please niunganisheni msilete...no 7760537000092383 tel 0754811266

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search