Mar 17, 2016Nimeonelea niweke hapa ili wateja wote wa Azam tv na wale wanaotaka kujiunga kulifahamu hili..
Awali ilikuwa usipolipia malipo ya mwezi zinabaki Lacal channel kwa muda wa wiki tatu siku 21..
Lakini sasa utaratibu umebadilika,ambapo kama malipo yako ya mwezi yatakata zitabaki channel mbili tu TBC1 na XTRA tofauti na ilivyokuwa awali..
Hii imepokelewa tofauti na mategemeo ya wateja wengi ambao walidhani kadri siku zinavyozidi kwenda nipo unafuu utakuja kupatikana kama Local channel zote kuwa bure hata usipolipia muda wote!
KWAKO IMEKAAJE HII..!!??
Unajua kama kifurushi cha AZAM SPORT HD hakipo!!??
Unataka kujua bei mpya ya vifurushi na maboresho yaliyofanyika!!?? Bofya Hapa

+255 789 476 655
12:49 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search