Mar 18, 2016

 

KUNA AINA MBILI YA VING'AMUZI:-
DISH - kinacotumia Dish
ANTENNA - kinachotumia Antenna

Malipo ya mwezi yanapoisha wengi tunajua ya kuwa Local channel zinabaki ni kweli ila sio kwa ving'amuzi vyote!
Kuna namna mbili ya walivyofanya Startimes vipo ving'amuzi ambavyo malipo ya mwezi yakiisha zinabaki local channel na vipo ving'amuzi malipo ya mwezi yakikata local zinakata na kubaki TBC1 na ya matangazo!
Utajuaje kama kipi ni kipi!?
Wakati unataka kununua king'amuzi cha Startimes iwe ya Dish/Antenna muulize anayekuuzia kuwa king'amuzi hicho ni cha aina gani cha kukata local channel ama kubaki!? Usikimbilie unafuu wa bei kwa maana unapopewa bei mbili bei ya chini ndio ambayo malipo yakikata channel hazibaki!
Ukitaka kujua vifurushi vya Startimes Bofya Hapa
1:53 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Dr Byabato said...

Hallo,
mi ninacho kifurushi cha Star Times cha bei ndogo (kinachokata na kubakiza TBC1 tu). Jana usiku nimeongezea kifurushi cha Sh. 5000 kwa njia ya M-Pesa. Cha kushangaza ni kwamba zie Channel zingine hazikurudi. Nifanyeje?

Zachariah Gosso said...

Ninataka DSTV BOMBA nipo Tanga nitaipataje?

Zachariah Gosso said...

Ninataka DSTV BOMBA nipo Tanga nitaipataje?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search