Habari njema kwa wateja wa zuku na wale wanaotaka kujiunga na zuku tv ni hii hapa:-
Kwa tsh 8,999
Unapata kuona channel za tv 30
Radio 18
+ Local channel
Punde nitawawekea channel zilizopo....!!
Punde nitawawekea channel zilizopo....!!
Ukitaka kujua vifurushi vingine vya zuku tv BOFYA HAPA
1 Unasemaje..??:
Kidogo mmejitahidi lakini kumbuka wapo wanaotoza bei ndogo kuliko ninyi ;lakini nisiwafiche wengi wanahama ZUKU jitahidini kupunguza bei ili walioacha ZUKU warudi
Post a Comment