Call / WhatsApp +255673378129

Mar 9, 2016

KIFURUSHI CHA ZUKU SMART PACK | TSH 8,999


 Habari njema kwa wateja wa zuku na wale wanaotaka kujiunga na zuku tv ni hii hapa:-
Kwa tsh 8,999
Unapata kuona channel za tv 30
Radio 18
+ Local channel

Punde nitawawekea channel zilizopo....!!

Ukitaka kujua vifurushi vingine vya zuku tv BOFYA HAPA
Share:

11 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kidogo mmejitahidi lakini kumbuka wapo wanaotoza bei ndogo kuliko ninyi ;lakini nisiwafiche wengi wanahama ZUKU jitahidini kupunguza bei ili walioacha ZUKU warudi

trainer investment said...

weken hata chanel moja ya bure achen ubahil jaman nauza king'amuz cha zook bei chee mi nimeshindwa kulipia

Anonymous said...

Zuku siku hiz hamna deal mjini hapa, bei zenu zipo juu af chanels za ovyoo

Anonymous said...

Me mwenyewe nlihama kitambo

Unknown said...

Nyie vp hampokei cm kujua chanell za Tz zinaanza lin kama mmeshindwa tutoe uchafu wenu juu ya paa

Unknown said...

Bei za vifurushi zipo juu sana halafu chanel pia hazivutii maana chanel za za Tz hakuna

Unknown said...

Bado kutumia lakini napenda kujiunga

Unknown said...

Naomben muweke chanel za tz hasa ITV clouds eatv wasafi TV nanyingine za hapa tz laasivyo mtakosa wadau kabsa syo siri

Unknown said...

Weken channel za ndani, watu wanahitaji habari muhimu !

Unknown said...

Mtapoteza wa teja wengi akuna mtu ata nunua zuku tena uku tz in short mmefeli kibiasha

Unknown said...

Tuwekee UPENDO TV

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita