Oct 30, 2016

FLAT SCREEN INSTALLATION #FundiMakini
 

Baadhi ya ile team #FundiMakini mikono salama ya Mustapha MaDish na TeamKazi ikiwa inafanya Installation ya Flat Screen sehemu tofauti tofauti!
Si kila mtu anaweza kufanya tunachofanya!
Je unahitaji hii team ukuhudumie zaidi ya hivi?
Piga +255789476655Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: