Oct 30, 2016

Kitu kizuri kwenye ulimwengu wa Digital Tv hususani kwa Tanzania kinakuja.. Lengo ni kusaidia watanzania wote kwa ukaribu zaidi kuhusu ulimwengu wa Ving'amuzi.. Kuna udhaifu mkubwa katika kutoa habari,msaada,ushauri nk. kwa jamii kuhusu ulimwengu wa Digital Tv.. Hii imepelekea kuwe na taarifa zisizo rasmi na kuendelea kuongopeana kila kukicha ama taarifa zinatoka kibiashara,unashawishiwa ili ununue king'amuzi fulani.. Mustapha MaDish na Team yangu lengo letu kuu ni kuhakikisha unaujua na unaufurahia ulimwengu wa Digital Tv...
Nini kipya kinakuja endelea kufatana nami/nasi....
Tunakukaribisha uungane nasi iwe una Maoni au Ushauri
+255789476655
10:54 PM   Posted by Mustapha Hanya in with 1 comment

1 Unasemaje..??:

MOONGA STEPHEN said...

It is a great mission and I hope it will as it seems so. All the best #nustaphamaDishi

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search