Nov 18, 2016

Javio Felix moja kati ya Ile team Mustapha MaDish vile vichwa vichache ninavyoviaminia...
hofu ilinitoka baada ya kumpa safari moja ya kikazi Zanzibar na kurejea akiwa na mrejesho mzuri tu huku akiwa anacheka cheka mpaka jino la mwisho sijui alikaribishwa na urojoo!!
Ingawaje kwa hii ilikuwa changamoto kwake ingawaje mwisho ulikuwa mzuri na alichoondoka nacho hakitampa changamoto tena maana yake kaiva,katika mambo ya mabei bei!!
Kila leo na team yangu tunapiga hatua 1 mbele kutokana na ukweli kwamba huwezi kunyooka ama kumnyoosha mtu kwa siku moja hivyo kinachotokea kila siku mimi na team yangu tunakuwa wabora zaidi!
Tunachoenda kukifanya si kupata wateja wengi zaidi tu la hata wadau na mafundi kwa ujumla wajifunze kupitia sisi nini tunafanya ili nao wafanye kwa wengine!
Tupo ulimwengu wa Digital kwanini tutoe huduma kianalogue!!??
Tunataka uelewe kwanza kabla hujanunua king'amuzi ama hujapata huduma zetu
Hivyo tuulize ili tukueleweshe!
Javio MaDish

#FundiMakini

#Mikonosalama


#Baba Fetty
4:54 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search