Call / WhatsApp +255673378129

Jan 15, 2016

UNA DECODER YA CONTINENTAL NA HUPATI CHANNELS!?





Kuna tatizo la baadhi ya makampuni ya ving'amuzi Tanzania kushindwa kutoa taarifa kwa wateja wao kwa wakati kama ikitokea kuna tatizo Fulani au mabadiliko Fulani!
Hii inaathiri sana kimauzo kwakuwa sifa mbaya inakaa muda mrefu na kuvuma kwa haraka kuliko sifa nzuri...!!
Niendelee mimi... kwa wale wateja wa Continental ambao mpaka sasa hawapati matangazo,kwanza poleni na pili fata utaratibu huu ili uendelee kupata channels zako zilizopotea:-
- Search upya auto channels zako zitarudi ama ukiona zimegoma
- Chukua simu yako ingia sehemu ya ujumbe mfupi ( sms ) andika neno ( refresh ) acha nafasi ( namba ya card ) tuma kwenda namba 0764 444 4452,kisha subiri baada ya muda.
- Ukishindwa yote wasiliana na fundi wako ili akusaidie!
Share:

Jan 2, 2016

KUPATA RATIBA YA AZAM TV


wewe ni mteja wa Azam tv ? 
Unapata usumbufu wa kutaka kujua ratiba ya kitakachofata kwa siku hiyo na siku zijazo pia?
Ni rahisi mno kwako ili kujua kwa namna gani unaweza kupata ratiba hiyo kwa kupitia king'amuzi chako Bofya Hapa

+255789476655
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita