Call / WhatsApp +255673378129

Feb 25, 2016

OFFER YA DSTV UKINUNUA UNAPATA...


Je unahitaji kujiunga na DStv hii itakuwa inakufaa zaidi kwa maana hapatakuwa na kisingizio tena ipo hivii:-
Kama unahitaji kujiunga kwa maana kununua ni tsh 79,000/= bila ufundi ila ndani yake kuna kifurushi cha Compact sijui nimeeleweka hapa!!??
Na kwa wale wateja wa zamani ukinunua kifurushi cha Compact kwa tsh 84,500 utapata kuona mpira live nazungumzia EPL,LALIGA na EURO 2016!
kutaka kujua vifurushi vingine vya DStv usiwe mvivu  Bofya Hapa
Share:

Feb 17, 2016

VIFURUSHI VYA CONTINENTAL DECODER


Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:-
Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo kwa muda wote toka kiwe hewani. Lipia king'amuzi chako cha continental kuendelea kupata channels za continental ambapo channel za nyumbani zote ni bure hata usipolipia.
Vifurushi, Siku 7 @3,999/= , Siku 15 @6,999/= , Siku 31 @11,999/= .
 Continental Decoder The quality to talk about
 Kwa Maelezo zaidi +255789476655
Share:

Feb 10, 2016

BEI MPYA YA VIFURUSHI VYA ZUKU

Kuanzia tarehe 01/03/2016 malipo ya vifurushi vya zuku itapanda kutokana na sababu za kimaboresho kwa mujibu wa Zuku!
Tsh 10,000/= kifurushi kipya Bofya Hapa
Ambapo kifurushi cha Classic kitakuwa tsh 18,000/= badala ya tsh 15,000/= iliyopo sasa!
Kupata kujua channel zilizopo kwenye kifurushi cha Classic Bofya hapa
Alkadharika kifurushi cha Premium kitakuwa tsh 25,000/= badala ya tsh 22,500/= iliyopo sasa!
Kupata kujua channel zilizopo kwenye kifurushi cha Premium Bofya Hapa
Share:

Feb 9, 2016

UNATAKA KUNUNUA AZAM TV!!??


Yapata wiki ya pili sasa kwa wale wauzaji king'amuzi cha Azam tv kimekuwa adimu kutokana na mzigo kutokuwepo makao makuu ya Azam,ingawaje taarifa zilizotoka ilikuwa jumatatu ya tarehe 8/2/2016 mzigo ungekuwa umeshafika na kuanza kuuzwa kwa mawakala na wateja pia ila hali imekuwa tofauti kutokana na sababu zilizo nje ya kampuni ingawaje jitihada za haraka zinaendelea kufanyika!

Hali hii imepelekea kwa wale mawakala/wafanya biashara tu wanaouza kwa kusua sua kipindi ambacho king'amuzi kina kuwa adimu wao bado wanavyo na matokeo yake wanauza bei juu tofauti na bei stahiki,hii ni kwa Dar na nje ya Dar pia!

Ninachoweza kuwasihi wateja wote wanaohotaji kujiunga na Azam tv waendelee kuwa na subira,mpaka jumatatu ya tarehe 15/2/2016 king'amuzi cha azam kitakuwa kinapatikana kwenye zile sehemu zinu zote,ingawaje juhudi zinazofanyika zikifanikiwa hata kabla ya jumatatu kitaanza kuuzwa! Wale waliopiga simu kama ambavyo wameahidiwa baada ya kuacha mawasiliano yao kwamba watafahamishwa pindi tu uuzwaji utakapoanza nasi tutafanya hivyo bila shaka na wale ambao bado wapo njia panda piga no.+255 789 476 655 kisha acha mawasiliano yako kisha utafahamishwa pindi tu uuzwaji utakapoanza! Kwa wale wa Dar es salaam unaweza kuletewa mpaka ulipo na kufungiwa kisha unalipia!
Kujua vifurushi vya Azam tv Bofya Hapa
Share:

Feb 1, 2016

mustaphamadish@gmail.com


Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita