May 1, 2017

OFFER YA AZAM TV 2017


Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi!
Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala Kifurushi
Ufundi ni Tsh 30,000/=
Vifurushi Bofya Hapa
Offer unayopata,ukinunua
  • Kifurushi cha Tsh 15,000/= unapata kuona channels za Kifurushi cha Tsh 23,000/=
  • Kifurushi cha Tsh 23,000/= unapata kuona channels za Kifurushi cha Tsh 28,000/=
  • Kifurushi cha Tsh 28,000/= unapata kuona siku 10 zaidi baada ya kifurushi chako kuisha
Kwa maelezo zaidi piga +255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: