Jun 4, 2017

HIDEN CAMERA

Hapa tunazungumzia ule mfumo wa CCTV CAMERAS ni katika kuhakikisha ulinzi wa mali yako ama eneo unalomiliki lipo salama kama si chini ya uangalizi wako muda wote,pasi kudanganywa wala kupitwa!
HIDEN CAMERA ni camera ambayo mara nyingi inakuwa ni ndogo na hata ukaaji wake ni wa kujificha ni ngumu kuiona..


Zipo Hiden Camera zinachukua picha na sauti.

MIRROR HIDEN CAMERA
Unaweza ukadhani ni kioo tu,kwakuwa muonekano wake upo hivyo lakini ni camera!

Hiden Camera unaweza ukachanganya na Camera za kawaida katika DVR moja,mfano DVR inapokea camera 4 unaweza ukafunga camera 3 za kawaida na 1 ni Hiden.Kwa Mahitaji ya CCTV CAMERAS INSTALLATION | MAFUNDI | VIFAA | USHAURI
                                         Tupigie MaDish Technology +255789476655 
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: