Jun 7, 2017

Siku zote tunasisitiza huduma bora bila kubagua uwezo wa wadau wetu ama sehemu uliyokuwepo ingawaje lawama zilikuwa nyingi kwa kuwapa ugumu wadau wetu ambao mlikuwa mnatuhitaji mliopo nje ya Dar es salaam
Kwa sasa ni rahisi sana kupata huduma zetu ukiwa mkoa wowote Tanzania kwa kufata utaraibu huu:-

  • Angalia katika orodha huduma uitakayo ipo?
> CCTV Cameras Installation
> TV System Installation
> TV System Repairing
> Azam Tv Installation/Repairing
> DStv Installation/Repairing
> StarTimes Installation/Repairing
> Zuku Tv Installation/Repairing
> Continental Installation/Repairing
> Flat screen & Projector Installation
  •  Wapi tusababishe ama una Tv ngapi?
> Upande wa Tv system Installation ni kwenye:Apartment | Office | Hotel | Au Installation ya Tv 4 na kuendelea.
> Upande wa CCTV Cameras Installation hata camera 1 tunakuja kufunga.

  • Unahofia gharama zetu?
Huwa wanasema rahisi ni ghali.. ni kweli ila hii haina maana kwamba we're very expensive.. isipokuwa huduma zetu ni high quality hatuangalii umetulipa kiasi gani,tunachozingatia ni LEVEL yetu kamwe hatukubali kujishusha ama mtu kutushusha kutokana na kipato chake ama mazingira huwa tunafanya bora popote tunapofanya kazi.. Kazi yetu ya kwanza ni kukushauri kutokana na matakwa yako,eneo lako na kipato chako kisha tunafanyakazi.. Malipo yetu huwa awamu mbili ama tatu inategemea na ukubwa wa kazi!

  • Uzoefu wetu upoje?
> Zaidi ya miaka 8 tunafanya hizi kazi
> Uzoefu umetufanya tuwe wabunifu mara dufu
> Tunavielewa vema Ving'amuzi vyote vilivyopo Tanzania na nje ya Tanzania
> Tunazielewa vema Camera na kila updates
> Tumefanya/Tumewafanyia kazi watu/sehemu Expensive.Mf:Ikulu-Prime Minister Office | JB belmonte Hotel | Nyumbani kwa Mkurugenzi wa IPP Media Bw.R.Mengi.
> Tume na tunaendelea kuwasaidia mafundi wanapokwama na kuwapa training wasiojua na matokeo kuwa mafundi wazuri


  • Vifaa tunavyotumia kukufungia
> Kuonyesha tunakufungia kitu OG huwa tunakupa miezi 12 kama ikitokea kimeungua huwa tunakubadilishia bila gharama yeyote ya ziada.

  • Tunafanyakazi kihalali ama tunanjunga?
 Tupo Officially kabisa tukifahamika kama MADISH TECHNOLOGY chini ya Mustapha MaDish.Office yetu ipo Dar es salaam,Magomeni Mapipa karibu na Morogoro rd,mt Idrisa #110.Tuna vifaa vyote vya kazi ikiwemo team ya vijana wenye mshawasha wa kufanyakazi.
  • Kwanini usituite mkoani kwako tuwe mfano?
>  Njoo tukuonyeshe OG ili usijepokea FAKE milele.
> Tupigie +255789476655 ama email yetu ni:mustaphamadish@gmail.com
2:36 PM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search