Jun 22, 2017


Waislamu tupo ukingoni katika kukamilisha moja ya nguzo muhimu katika dini yetu kama ambavyo tumeongozwa kutekeleza..
Leo ni chungu cha 28,bado siku moja ama mbili ili tumalize mfungo na tuingie kwenye Sikukuu ya Idd...
Nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri katika kumalizia mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan na kusherehekea vema sikukuu..
 Na salamu hizi zinatolewa na MADISH TECHNOLOGY kwa ujumla!
Pamoja na salamu hizi pia tunawashukuru kuendelea kuwa pamoja nasi..
Tunathamini uwepo wetu na tunafanya kila njia kukidhi matakwa yenu bila ninyi wala tusingefika hapa..Tusherehekea sikukuu kwa amani na utulivu..!!
11:32 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search