Call / WhatsApp +255673378129

Jan 3, 2018

UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2018!?


Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:-
  • Azam tv inauzwa Tsh 135,000/= Hii bila kifurushi wala Ufundi! Ila ina Offer katika malipo! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Digitek inauzwa Tsh .......
  • DStv inauzwa Tsh 79,000/=  Hii bila Ufundi ila ina Offer ya vifurushi vya miezi miwili! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Continental inauzwa Tsh .... ya Dish na Tsh 40,000/= ya Antenna. Hii bila ufundi ina Offer ya kifurushi cha miezi..! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • StarTimes inauzwa ya Dish Tsh 78,000/= na ya Antenna Tsh 34,000/= Hii bila ya Ufundi ina Offer ya kifurushi cha miezi...! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
  • Ting HD inauzwa ya Dish Tsh 100,000/= na ya Antenna Tsh 35,000 ina Offer ya kifurushi cha miezi..! Hii bila Ufundi Bofya Hapa
  • Zuku tv   inauzwa Tsh 88,000/= Hii bila Ufundi ila ina Offer ya kifurushi cha miezi...! Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa 
  • NB: Bei zote zina mabadiliko kujua bei mpya check Whatsapp+255784378129
Zijue bei za vifurushi kwenye ving'amuzi kwa mwaka 2018 
Jinsi ya kuhama kifurushi
Kuepuka Dish lako kupata kutu
Kupata Mafundi Professional
Share:

34 Unasemaje..??:

Unknown said...

Mbonanhujaweka bei za king'amuzi cha Ting na Digitek?

Mketo said...

Kipi kizuri hapo

Anonymous said...

Nina king'amuzi cha Star times nilikua nikitumia antena,kwa sasa nahitaji nitumie ungo wa startimes je gharama ya ufundi na kununua ungo ni sh. Ngapi? Maana decorder ipo tayari ile ya zamani

Anonymous said...

Nina king'amuzi cha Star times nilikua ninantumia antena ila kwa sasa nahitaji nitumie ungo je bei ya ungo ni sh. Ngapi

Anonymous said...

Nahitaji kupata king'amuzi cha Easy hivi bado vinafanya kazi msaada pls

Unknown said...

King'amuzi cha Azam Bila Dish Inakuwa bei gani

Unknown said...

King'amuzi cha Azam Bila Dish, Inakuwa kiasi gani

Mustapha MaDish said...

Tsh 105,000/=

Mustapha MaDish said...

Easy tv hawapo kihuduma.

Mustapha MaDish said...

Itakulazimu ununue complete dish+decoder kwakuwa decoder tofauti.

Unknown said...

Mm Nina kingamuzi cha zuku kina miaka miwili sijakitumia ni kimpya alafu akina dish je naweza kununua dishi
na kikafanya kazi

Unknown said...

Boss nahitaji azam tv decoder plus dish price ni hiyohiyo au kuna changes???

Unknown said...

King'amuzi cha startimes cha antena, je unaweza kukifungia dish la star times kikaonyesha?

warren_g said...

mimi nahitaji kadibyavstartimes bei gani?

Unknown said...

Nauliza tatizo nini nimelipia tangu tarehe 9 mwezi wa 7 ila bado sipati chanel

Unknown said...

778226 account namba

Salimu said...

Nina decoder ya wiztech mpg4 kina uwezo wa kuonesha chanel za mpira maana bado kipya sijakifunga

Baraka said...

Startimes bei gani

Unknown said...

Mkuu kingamuzi cha digitek plus kinauzwa bei gani ?

GalsportTzbet tips said...

Ting bado wanaonesh lig ya wingeleza

Unknown said...

Poa vp offer ya dekoda ya startimes

McKenje said...

et bei ya dikod ya startimes shingap

Unknown said...

Ninaomba kujua decoder ya startimes bila dishi

Unknown said...

Nimependa sana maoni yawatanzania maana nimazuri yanachangamsha vema

Unknown said...

Kama kuna MTU anauza kingamuzi cha ting cha dish tuwasiliane

Unknown said...

Bei ya kingamuz cha startimes kwa sasa ni shingapi nakiitaji

Unknown said...

Nahitaji remote ndogo ya continental. Naweza pata? Ofisi zenu zipo wapi?

Unknown said...

Ting mia moja,,,yan100,000

Unknown said...

EPL,,,chukua dstv

Unknown said...

Njoo nikupatie

Unknown said...

Habari naomba kujua bei ya star time kwa mwaka 2019 ni shingap pamoja na dish lake yan full

Anonymous said...

Bila dish kwan king'amuz kinaweza kuonesha????????
Na je kingamuz ambacho hakitumii dish chenye antena ndogo kama startimes vip??????

Unknown said...

Naomba kujua Bei za king'amuzi Cha startimes

Unknown said...

Habari, naomba kujua Bei za king'amuzi Cha startimes

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita