Jul 5, 2017

Pengine umeshahi kwenda kwenye Hotel ( nyumba za wageni ) na ukakuta kwenye tv ya chumbani kwako kuna channel za dstv zaidi ya moja na unabadili kupitia remote ya tv husika bila kuona king’amuzi kilipo,mfumo ambao wadau wengi waliutamani uwezekane hata majumbani wanapoishi…!!
Unajenga ama umeshajenga Hotel, Lodge ama Guest na ungependa kufunga king’amuzi cha DStv na kuweza kupata mfumo sahihi kwa wateja wako.. Fuata utaratibu huu:-

  • ·         Piga simu +255789476655 na ujieleze kuhusu jengo lako ili uweze kupata utaratibu  wa awali ( Mf:Kupata wataalamu wa kuja ku survey/Kupata Mafundi,n.k )
  • ·         Unachagua unataka channel ngapi/gani? Idadi ya channel utakazo unazigeuza kuwa Decoder ( Mf: unataka channel 10, unapaswa kununua decoder 10 )
  • ·         Unalipa kutokana na idadi ya tv/room
  • ·         Vifaa muhimu vinavyotakiwa
o   Coaxial Cable
o   Dish pic 1
o   Decoder idadi ya channel utakazo
o   Lnb pic 1
o   Multiswitch
o   Splitter
o   F connectors
o   Male Connector idadi ya tv
o   Signal Amplifier
  • ·         Lazima utenge chumba ( Control room ) ambapo ndipo decoder zote zitafungwa hapo.Kujua chochote kinachohusu jinsi ya kufunga DStv kwenye Hotel/Lodge/Guest/n.k Tupigie +255789476655


4:18 PM   Posted by Mustapha Hanya in with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ungeweka namba za simu zaidi ya moja kwakuwa hiyo namba moja ipo bize sana,nimejaribu kupiga mara kadhaa simu inatumika tu.
Swali langu mimi nilihitaji hi huduma lakini sio kwa dstv pekee nilitaka mchanganyiko si inawezekana?

Anonymous said...

Nimepata faida leo!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search