Jul 7, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA AZAM TV | ZINGATIA HAYA!


Moja ya king'amuzi kilichokubalika kwa muda mfupi sana na kuzoa wateja wengi ndani na nje ya Tanzania.. Hiki ndicho king'amuzi pekee mpinzani mkubwa wa DStv.. Azam tv wamejua ni nini wadau wanataka hasa watanzania ingawaje wahajafikia katika ile hatua ya kukata kabisa kiu ya watazamaji isipokuwa angalau wameonyesha ujio mzuri hivyo kimtazamo mambo mazuri zaidi yatakuja hapo baadae..!
Uzuri wa King'amuzi cha Azam tv unadhihirisha kwenye mauzo kila leo wadau wananunua king'amuzi cha Azam tv na wakati mwengine huwa mpaka upatikanaji wake inakuwa tabu kutokana na ile strock kuisha makao makuu hivyo Wakala wanakosa strock.hupelekea wakala walio na strock kuuza bei isiyo rasmi... Ila hili la kuuzwa kwa bei isiyo rasmi lipo sehemu nyingi sana hasa kwa wakala wasio idhinishwa kwakuwa wao hawanunui kwa bei kama wakala wao nao wananunua kwa mawakala kama wateja wa kawaida hivyo anauza bei juu ili aweze kupata faida.. na wakati mwengine wakala walioidhinishwa huuza bei juu tofauti na bei elekezi...
Hivyo ukitaka kununua king'amuzi cha Azam tv zingatia mambo haya:-
  • Ujue bei elekezi ya kununua king'amuzi ( Bei ya kampuni ) - Ambayo ni Bofya hapa
  • Ujue bei ya vifurushi - Kujua bei ya vifurushi Bofya hapa
  • Unapata Fundi aliyeidhinishwa - Kupata Mafundi wa Azam tv Bofya hapa
  • Ujue Wakala aliye karibu na wewe - Kujua wakala aliye karibu yako Bofya hapa
  • Unapata mawasiliano ya makao makuu ili iwe msaada kwako kama utapata tatizo lolote - Kupata mawasiliano ya Makao makuu Azam tv Bofya hapa
KWA MAELEZO ZAIDI
+255789476655
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: