Jul 10, 2017


Neno MUHENGA sio neno geni isipokuwa siku hizi ndio umekuwa msemo... Hapa namkumbuka mwalimu wangu wa lugha moja kati ya aliyowahi kunifundisha ni ile misemo ambayo inakuja na kupotea ingawaje sio misemo migeni.. mfano ulio hai ni hili la WAHENGA!!
Neno WAHENGA ni Msamiati maana yake ni watu wa zamani ama watu waliokuwepo zamani...
Watu hawa huwa na busara,hujua vitu vingi sana kwakuwa wamepitia mengi kwa maana hii Muhenga akikuelekeza kitu ni mara chache kwenda wrong mara nyingi huwa sahihi!!
Kwa uchache huu nina kila sababu ya kusema sisi ni wahenga kwenye ulimwengu huu wa Digital.. maana tupo toka muda ambao watu hawajalazimishwa kuingia kwenye ulimwengu wa Digital enzi ya Analogue..
Kipindi ambacho Signal finder hazipatikani kwa urahisi..
Kipindi ambacho unatafuta signal ya C band unatoa tv nje..
Kipindi ambacho unaweza kwa mwezi ukafunga Dish za C band ( Dish kubwa ) 16 na KU ( Dish ndogo ) ukafunga 2..
Muhenga wa mwisho kama ulikuwa fundi na ukafunga Gtv

UNATAKA KUHUDUMIWA NA MOJA YA WAHENGA WA DIGITAL!?
+255789476655
8:59 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search