Call / WhatsApp +255673378129

Aug 9, 2017

KUPATA CHANNELS ZA BURE KWENYE HOTEL/LODGE

 Ili uweze kupata channels za Local ( Tanzania ) kwa kupata habari na vipindi vya nyumbani bila kufanya malipo ya mwezi,hapo hapo kila tv ikijitegemea yenyewe bila kuingiliana na nyengine kwa kila chumba,huku idadi ikiwa kuanzia channel sita ( 6 ) na kuendelea,unapaswa kufanya yafatayo:-


Unapaswa upate vifaa
  • Dish kubwa ya c band
  • LNB ya single solution
  • Receiver kwa idadi ya channels utakazo
  • Cable
  • F connectors
  • Multiswitch
  • Televes
  • Splitter
  • RF connector
  • N.k
 Upate Mafundi wanaojua kazi. #FundiMakini.

Mfumo huu utakuwezesha kuona Channel bila kufanya malipo ya kila mwezi,gharama yako ni mara moja tu kwenye Installation!
Moja ya kazi zetu safi 'King D Hotel'


Kwa maelezo zaidi na kupata mafundi,ushauri na vifaa
Whatsapp+255784378129
Piga +255789476655
Insta @mustaphamadish


Share:

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hivi hizi cahnnel za Tanzania kuzipata bure ni mpaka kutumia dish kubwa?

Anonymous said...

Sasa unasema hazina malipo na je nikihitaji na za mpira haziwezi kupatikana na free pia ingawaje nikiwa tayari nitawacheck

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita