Call / WhatsApp +255673378129

Oct 11, 2017

DISH 1 YA DSTV DECODER 91 ROOM 168

 

APARTMENT INSTALLATION:

Jengo la Apatment husika

 Mustapha MaDish

 Kinachofanyika hapa kinawezekana hata kwenye nyumba yako ya kawaida ambayo ina room 3 ama zaidi, Hostel n.k. Inawezekanaje !?
Hii ni Apartment ina jumla ya nyumba 91 na ina vyumba ambavyo vinahitaji tv zaidi ya 168 hapa inahitajika DStv tu kwa sasa isipokuwa tunachokifanya tunaacha mwanya wa King'amuzi chochote kuunganishwa katika muunganiko huu! Hii ndio kazi ya MADISH TECHNOLOGY.
      > Tv System Installation:-
  • HOTEL INSTALLATION
  • OFFICE INSTALLATION
  • APARTMENT INSTALLATION
  • HOSTEL INSTALLATION
  • LODGE/GUEST INSTALLATION
  • CLUB/BAR INSTALLATION 
 Mustapha MaDish
Kwa maelezo zaidi piga 0789476655 / Whatsapp+255784378129




Share:

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nimekuwa mfatiliaji wa kazi zenu na ushauri unaoutoa bwana Mustapha Madish hakika unajua unachokifanya. Mimi ni miongoni mwa wateja watarajiwa ndo namalizia kahotel kangu nitawatafuta nami nipate hayo mambo mazuri

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita