Feb 22, 2018

Imekuwa kuna kuulizwa kila siku na watumiaji wa ving'amuzi ni kwanini local channel hazibaki kwenye ving'amuzi baada ya kifurushi alicholipia kuisha, wakati huo huo ving'amuzi vyengine channels za local zinabaki!
Ni kwamba channels zinazotakiwa kubaki hata kama kifurushi chako kimeisha ni sita ambazo ni:-
 1. TBC 1
 2. ITV
 3. Start tv
 4. Clouds tv
 5. Channel 10
 6. EATV
Kwa ving'amuzi vinne tu ambavyo ni:-
 • Continental
 • Digitek
 • Startimes
 • Ting 
Ikiwa kuna tofauti yeyote unayoipata inayopingana na taarifa hii unapaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika kwa kufata utaratibu huu:-
 Kama una swali lolote piga
+255789476655
Kuanzia saa 2:00 asubuhi - saa 2:00 usiku
2:54 AM   Posted by Mustapha Hanya with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Startimes hawaachi zaidi ya tbc tu

shy shayo said...

Jaman star times inabaki tbc peke yake
Hivi Digitech arusha inakamata kweli

Anonymous said...

Kwanini dstv na azam havipo kwenye list?

Anonymous said...

I enjoy reading an article that can make men and women think.
Also, thank you for allowing for me to comment!

Website: http://herb24.space

Unknown said...

Nimekuwa sipati hizo Chanel hata siku Mona Kwa king'amuzi cha star times card namba 01819017767 walinijibu mpaka nilipie mpaka Leo sipati

Call +255789476655

 • Text +255759091445

Follow

Search