Call / WhatsApp +255673378129

Mar 28, 2018

STARTIMES CHANNEL 5 BURE HATA USIPOLIPIA


Startimes ni moja kati ya ving'amuzi ambavyo vinapaswa kuacha channels za Tanzania uzione bure hata kama malipo yako yameisha.. Hii ni kwa Startimes ya Dish na Antanna..!
Je wewe ni mtumiaji wa Startimes na je unapata channel za tanzania bure hata usipolipia!?
Kwa maelezo zaidi kama upo Instagram natumia 
 
Share:

3 Unasemaje..??:

Unknown said...

Mimi natumia dishi LA star time lakini sipati hizo Chanel za bure

Unknown said...

Dishi mbona hamutoi hizo chanel za Bure nipo Kilimanjaro

Unknown said...

Mtupe majibu basi

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita