Mar 30, 2018

Habari mdau wa Digital tv kiujumla!
Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati naomba tusameheane kwa kuwa majukumu nayo yamekuwa meengi na sio muda wote napitia hii blog, hivyo naomba niwape njia nyepesi ambayo nitakuwa naona maoni yenu kwa wakati na kuyajibu kwa yanayotakiwa majibu.
Iwe mtumiaji yeyote wa Azamtv, Continental, DStv, Digitek, Startimes, Ting na Zuku.
Kwa walio INSTAGRAM natumia @Mustaphamadish nifollow kisha uliza chochote kuhusu king'amuzi chochote na utajibiwa kwa wakati!

6:23 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search