YOTE YANAYOHUSU DIGITAL TV ESPECIAL VISIMBUZI ( Ving'amuzi )
MAFUNDI+
Tunafanya Installation/Repairing ya Dish Aina zote C band ( Dish kubwa ) na KU band ( Dish ndogo ) kwa Channels za bure na kulipia pia.
Kama: Azamtv | DStv | Startimes | Zuku tv | Nilesat | n.k.
Tunafanya Installation/Repairing ya Mfumo wa TV channels kwa tv za bure/kulipia kwenye majengo/kambi/eneo maalum n.k
Kama:Hotel | Apartment | Office | Bar | n.k.
Tunafanya Installation ya Tv ( Flat screen ) na Projectors.
MATERIALS
Vifaa vyote vinavyohusiana na Visimbuzi vinapatikana kwa bei nafuu kabisa.
Kama:Dish | LNB | Cable | n.k.
CCTV CAMERAS INSTALLATION
Tunafanya Installation/Repairing ya CCTV cameras kwa kutumia DVR ama kuunganisha na simu/computer
Kwenye: Office | Hotel | Apartment | n.k.
POPOTE ULIPO TUPO NAWE!
Tunatoa huduma kwa mikoa yote ya Tanzania inategemea na huduma uitakayo, makao tupo Dar es salaam.
USHAURI/MSAADA BINAFSI
Umepata changamoto yeyote kuhusu dish/kisimbuzi chochote na ungehitaji ushauri ama msaada binafsi iwe kiufundi ama issue nyengine check nasi WhatsApp +255784378129
"Our services's more than your payments"