Niwe mkweli kwakuwa mimi napenda kwanza muonekano mzuri wa picha hivyo inapozungumziwa HD iwe HD kweli na kama hata isiwe HD lakini muonekano wa picha uwe mzuri, king'amuzi hichi ni moja kati ya ving'amuzi vyenye muonekano wa picha mzuri sana kwa zile channel zote zinazomilikiwa na Continental.
Huu ni mwaka 2018 bei kwa sasa ni Tsh ... kwa Decoder ya Antenna na Tsh .... kwa Decoder ya Dish ikiwa set imekamilika, hapa nikiwa na maana inakuwa na Dish, Decoder, Cable, LNB
Ufundi ni Tsh 30,000/= kwa king'amuzi cha Dish