Call / WhatsApp +255673378129

Jul 26, 2017

ZUKU TV INSTALLATION IN TANZANIA


Zuku tv full Installation wherever you're in Tanzania call us +255789476655
  • Installation in Hotel
  • Installation in Office
  • Installation in Apartment
  • Installation wherever you want
  • Technical Issue
  • Months Payments
  • All about Zuku tv services in general  Whatsapp+255784378129
Share:

AZAM TV INSTALLATION IN TANZANIA


Azam tv full Installation wherever you're in Tanzania call us +255789476655
  • Installation in Hotel
  • Installation in Office
  • Installation in Apartment
  • Installation wherever you want
  • Technical Issue
  • Months Payments
  • All about Azam tv services in general  
 Whatsapp+255784378129
Share:

DSTV INSTALLATION IN TANZANIA


DStv full Installation wherever you're in Tanzania 
call us +255789476655 / 0627985436
  • Installation in Hotel
  • Installation in Office
  • Installation in Apartment
  • Technical Issue
  • Months Payments
  • All about DStv services in general
Location:
East Africa, Dar es salaam, Tanzania
Morogoro rd, Mbezi Mwisho.
Free delivery wherever you are in Dar es salaam.
Share:

UNAMLIPAJE FUNDI HUYU!?

Kwa mara ya kwanza naiona hii Dish kwanza nilicheka.. nilicheka kwakuwa vinachekesha na wala sikutegemea kukutana na kitu kama hiki.. Ndio nimekutana na dish nyingi zilizofungwa na kina #FundiKalipua ila hii inachekesha.. Kilichonifanya nicheke zaidi ni mteja kukubaliana na ufundi huu hivi kweliii!!!?? Unamlipaje fundi aliyekufungia hivi!!??
 Binafsi na Crew yangu tunawapinga mno wanaofunga namna hii kina #FundiKalipua hii sio sawa kabisa...


KUPATA MAFUNDI WA AZAM TV
+255789476655
Whatsapp+255784378129
Insta @mustaphamadish

Share:

Jul 20, 2017

BreakingNews toka DStv!!


Wale wapenzi wa mieleka hii imekaaje kwenu!!!!??
Supersport imeingia mkataba mpya na WWE wa kuonyesha michuano yake yote LIVE bila kukosa. Supersport itarusha WWE Flagship shows ikiwemo Raw na Smackdown, WWE specials ikiwemo WrestleMania na SummerSlam.
Msimu huu utakaonza rasmi tar 28 Agasti, mambo ni moto!
  Michuano hii itaonekana kuanzia SuperSport channels S3, S4, S9 na SS10. Ikiimaanisha kuanzia kifurushi Bomba cha sh.19,975 tu!
Kwa maelezo zaidi
+255789476655
Share:

Jul 18, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI | ZINGATIA HAYA!



Pamoja na makampuni ya Ving'amuzi kujitahidi kutoa matangazo lakini bado kila leo wadau mnaangukia katika mikono isiyo rasmi na matokeo yake mnapata usumbusu msiopaswa kuupata!
Leo niwarahisishie kitu kwa wale wateja wapya.. mnaotaka kununua king'amuzi ( Ving'amuzi ) mnapaswa kuzingatia mambo muhimu matano ( 5 ) ili usipate usumbufu kwa Ving'amuzi hivi vilivyo kwenye orodha:-
  Kwa kubofya king'amuzi husika naamini umepata maelezo ya kina na post hii imekuwa msaada mkubwa kwako.. ikiwa umesoma post hii na bado ukapata usumbufu kwenye kununua itakuwa umejitakia mwenyewe!

KWA MAELEZO ZAIDI
Instagram @mustaphamadish
Piga +255789476655
Whatsapp+255784378129
Share:

Jul 10, 2017

UNAWAJUA WAHENGA WA HIZI KAZI!?


Neno MUHENGA sio neno geni isipokuwa siku hizi ndio umekuwa msemo... Hapa namkumbuka mwalimu wangu wa lugha moja kati ya aliyowahi kunifundisha ni ile misemo ambayo inakuja na kupotea ingawaje sio misemo migeni.. mfano ulio hai ni hili la WAHENGA!!
Neno WAHENGA ni Msamiati maana yake ni watu wa zamani ama watu waliokuwepo zamani...
Watu hawa huwa na busara,hujua vitu vingi sana kwakuwa wamepitia mengi kwa maana hii Muhenga akikuelekeza kitu ni mara chache kwenda wrong mara nyingi huwa sahihi!!
Kwa uchache huu nina kila sababu ya kusema sisi ni wahenga kwenye ulimwengu huu wa Digital.. maana tupo toka muda ambao watu hawajalazimishwa kuingia kwenye ulimwengu wa Digital enzi ya Analogue..
Kipindi ambacho Signal finder hazipatikani kwa urahisi..
Kipindi ambacho unatafuta signal ya C band unatoa tv nje..
Kipindi ambacho unaweza kwa mwezi ukafunga Dish za C band ( Dish kubwa ) 16 na KU ( Dish ndogo ) ukafunga 2..
Muhenga wa mwisho kama ulikuwa fundi na ukafunga Gtv

UNATAKA KUHUDUMIWA NA MOJA YA WAHENGA WA DIGITAL!?
+255789476655
Share:

Jul 7, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA AZAM TV | ZINGATIA HAYA!




NB: Bei zimebadilika, ili kujua bei mpya na offer zilizopo Whatsapp +255658046655
Moja ya king'amuzi kilichokubalika kwa muda mfupi sana na kuzoa wateja wengi ndani na nje ya Tanzania.. Hiki ndicho king'amuzi pekee mpinzani mkubwa wa DStv.. Azam tv wamejua ni nini wadau wanataka hasa watanzania ingawaje wahajafikia katika ile hatua ya kukata kabisa kiu ya watazamaji isipokuwa angalau wameonyesha ujio mzuri hivyo kimtazamo mambo mazuri zaidi yatakuja hapo baadae..!
Uzuri wa King'amuzi cha Azam tv unadhihirisha kwenye mauzo kila leo wadau wananunua king'amuzi cha Azam tv na wakati mwengine huwa mpaka upatikanaji wake inakuwa tabu kutokana na ile strock kuisha makao makuu hivyo Wakala wanakosa strock.hupelekea wakala walio na strock kuuza bei isiyo rasmi... Ila hili la kuuzwa kwa bei isiyo rasmi lipo sehemu nyingi sana hasa kwa wakala wasio idhinishwa kwakuwa wao hawanunui kwa bei kama wakala wao nao wananunua kwa mawakala kama wateja wa kawaida hivyo anauza bei juu ili aweze kupata faida.. na wakati mwengine wakala walioidhinishwa huuza bei juu tofauti na bei elekezi...
Hivyo ukitaka kununua king'amuzi cha Azam tv zingatia mambo haya:-
  • Ujue bei elekezi ya kununua king'amuzi ( Bei ya kampuni ) - Ambayo ni Bofya hapa
  • Ujue bei ya vifurushi - Kujua bei ya vifurushi Bofya hapa
  • Unapata Fundi aliyeidhinishwa - Kupata Mafundi wa Azam tv Bofya hapa
  • Ujue Wakala aliye karibu na wewe - Kujua wakala aliye karibu yako Bofya hapa
  • Unapata mawasiliano ya makao makuu ili iwe msaada kwako kama utapata tatizo lolote - Kupata mawasiliano ya Makao makuu Azam tv Bofya hapa
KWA MAELEZO ZAIDI
+255784378129
Share:

Jul 6, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA DSTV | ZINGATIA HAYA!


NB: Bei zimebadilika, ili kupata bei mpya na offer zilizopo Whatsapp+255784378129 ama text / Piga 0789476655
Wakongwe wa Digital hawa hapa na bado wanaendelea kufanya vizuri sana!
Leo niwakumbushe kitu kwa wale wateja wapya wanaotaka kujiunga na DStv mnachopaswa kufanya ili usijutie kwa maamuzi yako sahihi ya kujiunga na DStv.. Ifahamike ya kuwa Multichoice Tanzania ( DStv ) wamekusogezea huduma kwa kuweka wakala karibu na wewe ambao wanapaswa kutoa huduma kama ile inayotolewa makao makuu nikiwa na maana katika kiwango kile kile cha bei na huduma kiujumla..
Hivyo sio lazima ukitaka kujiunga na DStv uende makao makuu laa..
Unachopaswa ni kuzingatia haya:-
  • Ujue bei elekezi ya kununua king'amuzi ( bei ya kampuni ). Ambayo ni Bofya hapa.
  • Ujue bei za vifurushi. Kujua bei na vifurushi Bofya hapa.
  • Hakikisha unapata fundi aliyeidhinishwa. Kupata mafundi wa DStv Bofya hapa.
  • Ujue wakala aliye karibu na wewe. Kupata wakala wa karibu Bofya hapa.
  • Upate mawasiliano ya makao makuu kama itatokea ukapata huduma ndivyo sivyo iwe rahisi kupata msaada. Kujua mawasiliano ya makao makuu Bofya hapa.
KWA MAELEZO ZAIDI KUWA HURU KUWASILIANA NASI 
+255789476655

Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA PIGA/WHATSAPP +255673378129

Post zilizokupita