Call / WhatsApp +255755949413

23‏/11‏/2010

GIRAFFE OCEAN VIEW HOTEL...!!


Ilikuwa ijumaa tulivu sana na kwa siku hii nilianzia hapa Giraffe hotel katika sehemu iitwayo jety 1, hapa nili install DSTV na mambo kuwa mazuri..!!
Kwa wale wasiopajua hapa ni Dar maeneo ya mbezi beach Africana katika hotel iitwayo giraffe kuna ukumbi ambao upo baharini unaitwa jety 1,kiukweli pazuri na panavutia kwa ujumla na baada ya kuinstall DSTV ndo dah mvuto umezidi mara dufu.....!!
Mambo yalikuwa hivi katika mapichapicha:- 
                                                           
















Share:

7 Unasemaje..??:

غير معرف يقول...

Hii kazi yako kuna ulazima wa kujikatia bima vipi umefanya hivyo sababu kama hapo ulivyofunga hiyo dish si ni katikati ya bahari,mfano ingetokea bahati mbaya!!

غير معرف يقول...

Brother Mustapha hi!!
which day you will be free between week end i want to meet with you,i'm in East Africa Uganda!
I think so i will there next week end,pls!!

غير معرف يقول...

Hivi hii kwa hotel inakuwa ni mkataba ama unafanya ontime then basi!!

غير معرف يقول...

Jumapili pia unafanyakazi??

غير معرف يقول...

The Ford workstation brings your office to your vehicle, making it easier to conduct business in Houston than ever before. Ask your Houston Ford dealer about the options available. rn rnWith an in-dash computer in your Ford pickup or van, you drive around Texas without having to back track to your office in Houston to fill out a form or submit a work order. Simply logon to your computer from your Ford and check e-mails, fill out spreadsheets and log information. Your Ford dealer Houston can discuss further with you the benefits of the Ford workstation.

[url=http://motoreviewnow.info/sandberg-volvo/]Sandberg Volvo[/url]

غير معرف يقول...

Nimepata ujumbe wenu ahsante ntawatafuta nikiwahitaji!!

غير معرف يقول...

Zaidi ya huduma

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita