Call / WhatsApp +255755949413

30‏/10‏/2017

STARTIMES UNALIPIA KIFURUSHI HAKIFIKI MWEZI!?

Jinsi inavyokuwa:- Kuna aina tofauti ya vifurushi kwa king'amuzi cha Antenna na Dish pia
Watumiaji wengi wa king'amuzi cha StarTimes hulipia pengine 9,000 ama 6,000 na kutegemea kifurushi alicholipia kiishi kwa muda wa mwezi mmoja,matokeo yake kinaenda wiki moja ama hata wakati mwengine hakifiki wiki malipo yanaisha na mtumiaji kutakiwa kulipia tena,hapa ndipo wateja wengi hutamani kukibeba king'amuzi na kukipiga chini!!!
Usichokijua ni kwamba:- Kifurushi ulichopo ni cha juu,yawezekana upo kwenye kifurushi cha Tsh 24,000 ama cha Tsh 36,000 hivyo inapotokea umelipia Tsh 9,000 ama Tsh 6,000 itahesabu siku hivyo haitafika mwezi channel zitakata!
Unachopaswa kufanya:- Ikiwa hujua upo kifurushi gani ni bora kufanya jambo moja la msingi upige simu kabla ama baada tu ya kulipia ili uhamishiwe katika kifurushi unachokitaka kikuwezeshe kufika mwezi mzima!
Kwa Maelezo zaidi!
+255789476655
Whatsapp +255784378129



Share:

20 Unasemaje..??:

غير معرف يقول...

Tatizo hili mimi hunitokea mara zote,nakumbuka mwanzoni baada ya ile ofa ya miezi sita sikuwahi kulipia kifurushi kikafika mwezi na nilishapiga simu mara nyingi ila tatizo bado sugu kwaile namba ya 0764700800

غير معرف يقول...

Kwanini sasa mnakuwa mnamuunga mtu kifurushi kikubwa wakati huo anakuwa amelipia bei ndogo?
Jiongezeni basi ili kuepusha migogoro na wateja wenu

غير معرف يقول...

Yaaan mm hii ni Mara ya tatu wanachukua pesa cjui maana yao nn napenda startime s ila bac maana nimelpia kifurushi cha mwezi, hata wiki haijaisha wakanikatia Huduma
Ila nahic dawa yao IPO, sio fare wanavyonifanyia

Unknown يقول...

Kifurushi cha mambo nimelipia ila cloudstv haipo Kwa nini?

غير معرف يقول...

Mbona hwa jamaa hawajibu, nadhani muarubani wao ni kuhama, providers ni wengi,na wao hawana uhuni km huu, eti ukikatikiwa ndipo wanakupa sababu, wakati unanunua mara ya kwanza hawakuelezi kwamba unaweza kulipia mwezi na ukakatiwa kabla

SAMENGA يقول...

Startimes mnababaisha kwa sasa

Unknown يقول...

Nataka kujua nipo kifurushi gani maana namba mliyoiweka haipatikani na nimelipia sh 12000

Unknown يقول...

Mm nimelipia tar 25 october kifuryshi cha mambo elf 12.000 nimepata kuona only 2 weeks namba zenu hazipokewi sijui mtanisaidiaje na kifurushi kinakaribia deadline

Unknown يقول...

Nimelipa kifurushi cha mambo elfu 12 tarehe 21Nov,lakini tarehe 5Decemba kimekwisha,kulikoni?

Skyslider يقول...

Card number 01819478807 nmeweka tar 25.12.2018 Leo hakionesh nmelipia cha nyota tatzo nn

Unknown يقول...

Mimi tatizo hili linanisumbua sana yaani kifurushi lakini hakijamaliza mwezi na channel nyingi hazioneshi na mamba ilekezi yenu ya msaada mlioiweka haipokelewi.

Unknown يقول...

Liking'amuzi lenu lina kera dawa yenu kuhama tuuu amna issue nyiee ....wezi tuu mm changu nikilipia tua naambiwa smartcard errer nisipo lipia haina shida ....poor customer care

Unknown يقول...

Liking'amuzi lenu lina kera dawa yenu kuhama tuuu amna issue nyiee ....wezi tuu mm changu nikilipia tua naambiwa smartcard errer nisipo lipia haina shida ....poor customer care

Unknown يقول...

Huwa natumia kifurushi cha mambo. Nililipia elf12 tarh23 Feb, Jana kimekata. Simu hazipokelewi? Kama vipi futeni kabisa kitengo cha customer care. Mnazinguaa,

Unknown يقول...

Huwa natumia kifurushi cha mambo. Nililipia elf12 tarh23 Feb, Jana kimekata. Simu hazipokelewi? Kama vipi futeni kabisa kitengo cha customer care. Mnazinguaa,

Unknown يقول...

Mjitahidi kuzingatia muda. Aliolipia mteja

Unknown يقول...

Huo ndo wizi wanaotufanyia system inatakiwa itambuwe malipo ya kifurushi husika automatic

Unknown يقول...

King'amuzi hakimalizi mwezi sijui shida nini

Unknown يقول...

Wekeni manual ambayo itasabaisha kila mtu achague aina ya kifurushi cha kulipia
Mfumo wenu wa sasa ni wa ubabaishaji na mnaweza poteza wateja kwa uzembe ambao mnaweza utatua jiongezeni

Unknown يقول...

Nimelipa kifurushi cha 12000 cha mwezi...wiki mbili kimekata naambiwa please recharge jamani..inakera

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita