Call / WhatsApp +255755949413

01‏/08‏/2017

GHARAMA ZA KUFUNGA CCTV CAMERAS | CCTV CAMERAS INSTALLATION COSTS


Watanzania wengi wanadhani ya kuwa kufunga moja ya mfumo wa ulinzi nyumbani/ofisini ama popote ambapo ungehitaji ni gharama kuubwa na wale kina wenzangu na mie hawawezi kumudu.. hii sio kweli kabisa.. Kila kitu kipo cha bei ya juu na bei ya chini pia huku ubora ukawa unatofautiana kidogo na vyote ni OG.. mfano Camera HD bei ni tofauti na Camera ya kwaida, Hiden Camera pia ni bei tofauti ingawaje zote unaweza kumuona mtu atakayepita mbele ya Camera hiyo vizuri.. DVR pia zipo HD na ambazo sio HD, zipo zenye uwezo wa kuunganisha kwenye simu ya mkononi na ambazo hazina uwezo huo, hii ni kama kwenye Camera bei huwa tofauti, ila hapa kwenye DVR bei hupungua ama huzidi kutokana na je unahitaji zenye kubeba Camera ngapi!? ila kwa nyumba ama ofisi ndogo ya njia nne inatosha kabisa kwakuwa utaweka sehemu muhimu..
Unahitaji Kununua | Kufungiwa | Ushauri
Yote kuhusu CCTV Cameras
+255789476655
Whatsapp +255784378129
madishtechnologytz@gmail.com
Share:

12 Unasemaje..??:

غير معرف يقول...

Simu ipo bize sana inakubidi uongeze namba nyengine ili iwe rahisi ofisi zipo wapi kwa hapa Dar?

غير معرف يقول...

Hata kwa mikoani mnafika nahitaji hii huduma..!??

cyber Fire and security يقول...

Nice article and worth’s as I am interested reading all articles about latest technology also I am searching for best security systems as CCTV Installation London for my home, I have searched some companies, will recommend your article regarding it. You must try for CCTV Installers London, also I am looking for Alarm systems, Burglar alarms London, and Access control systems on Low cost.
Have you ever wondered just how installs CCTV cameras in London?
CCTV Installation London

cyber Fire and security يقول...

Nice article and worth’s as I am interested reading all articles about latest technology also I am searching for best security systems as CCTV Installation London for my home, I have searched some companies, will recommend your article regarding it. You must try for CCTV Installers London, also I am looking for Alarm systems, Burglar alarms London, and Access control systems on Low cost.
Have you ever wondered just how installs CCTV cameras in London?
CCTV Installation London

Rebecca A. Maynard يقول...

Plus the fact of being able to move the camera around the home once you have hardwired it in. But it still needs its power source; you cant just pick it up and place it anywhere; you need a nearby plug to keep the camera powered. CCTV Melbourne

غير معرف يقول...

I'ᴠe been exploring fоr a ⅼittle for any hiigh quality articles οr blog posts on tһіs қind of housee .
Exploring іn Yahoo I ultimately stumbled ᥙpon this site.
Readding this іnformation So i'm satisfied to exhibit that Ihave ɑn incredibly excellent uncanny feeling І found out exaϲtly
what I neeԁed. I most indubitably wiⅼl makе certain to don?t
fail t᧐ remember tһis website and ρrovides it ɑ
look regularly.

غير معرف يقول...

I am really thɑnkful to the holder of this site who has shared
this fanhtastіc article at here.

Unknown يقول...

Nahitajii hiyo bos

Hamid يقول...

Mimi nahitaji Kufunga Camera Dukani. Camera itakayokuwa na WIFI system ambayo iko Connected na simu pia itakayo Record Matukio. Ni Mfanyabiashara Mdogo. Gharama no shilingi ngapi?

Morogoro business connector يقول...

Hellow! Is how much to install the cctv camera in office

Unknown يقول...

Nahitaji

Unknown يقول...

Nipo moshi hamna wakala

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita