Call / WhatsApp +255755949413

02‏/12‏/2017

KING'AMUZI KISICHO NA MALIPO YA MWEZI


Awali tulikuwa na ving'amuzi viwili ambavyo havikuwa na malipo ya mwezi, kulikuwa na Digitek na Continental, baadae Continental wakaanza mfumo wa kulipia na kuwa na Vifurushi pia kutaka kujua zaidi kuhusu Continental decoder bofya hapa, tukabaki na Digitek ambapo ni king'amuzi pekee ambacho hakina malipo ya mwezi. Kwa kutokuwa na malipo ya mwezi kwenye king'amuzi cha Digitek kumefanya kwenye zile Tv ambazo zinauwezo wa kupokea matangazo ya Digital pasi kutumia king'amuzi kuwezesha kupata channels za Tanzania bila malipo yeyote na bila kutumia king'amuzi cha nje kwakuwa ndani ya tv kwa lugha nyepesi tunasema ina king'amuzi.

Kwa maelezo zaidi +255789476655
Share:

5 Unasemaje..??:

غير معرف يقول...

Nipo Tarime vipi huku kimefika na nitapata wapi

غير معرف يقول...

Mkuu hivi vingamuzi bado vinapatikana? Bei yake ikoje? Nakihitaji sana.

غير معرف يقول...

Mkuu hivi vingamuzi bado vinapatikana? Nahitaji sana kupata kimoja..

Unknown يقول...

Nahitaji king'amuzi cha digitek nipo Bunda

Unknown يقول...

Nahitaji kuunganishiwa changu

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita