Call / WhatsApp +255755949413

21‏/12‏/2017

KUTUMIA KING'AMUZI KIMOJA KWA TV ZAIDI YA 1


Ving'amuzi vyote unavyovijua wewe iwe vya bure ama vya kulipia, nikiwa na maana vyenye kulipia malipo ya mwezi na visivyo na malipo ya mwezi, unaweza kutumia king'amuzi kimoja kwa tv zaidi ya moja, kwa kutumia king'amuzi kimoja unaweza kugawa picha kwa tv hata zikiwa 100.
Hii inawezekanaje!? kwanza unapaswa kujua ni king'amuzi gani ambacho unataka kugawa picha kwa tv zaidi ya moja,  chagua kwenye orodha hapo chini:-
NB:Nitaweka link kwa kila king'amuzi ambayo itakupeleka mpaka kwenye post ambayo itakuwa na maelezo yote kwa kina.
Kwa Maelezo zaidi hii hapa +255789476655
Whatsapp+255784378129
Share:

4 Unasemaje..??:

غير معرف يقول...

Kaka tumalizie hii post ni mihimu sana kwetu mafundi tunaokuangalia wewe mkuu
Shukurani

Unknown يقول...

Tunakusubiri Kwa hamu

غير معرف يقول...

Hata mimi pia nasubiri kwa hamu mtaalam wangu

Charles يقول...

Je! Inawezekana king'amzi kimoja kikaonesha chaneli mbili tofauti kwa wakati mmoja ikiwa nitakuwa na TV mbili tofauti?

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita