Call / WhatsApp +255755949413

28‏/02‏/2020

Je LNB ikitoboka ndio imekufa!?


Moja kati ya maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara, kila mtu ana namna yake ya kuuliza ila nikiliweka katika mfumo rasmi nimeulizwa Je LNB ikitoboka ndio imekufa!? Nitakuja niwajuze zaidi...
Share:

02‏/12‏/2018

HUNA HAJA YA KUTUFATA DAR TUNAPATIKANA MOROGORO PIA, MAFUNDI WABOBEZI

Unajenga Hotel, Lodge, Apartment Morogoro!!??

Unatafuta Mafundi Morogoro!?

Tukabidhi jengo lako tukufanyie ufundi huu:-

Security systems - mfumo wa ulinzi

TV systems  - mfumo wa tv ( madish )

Domestic electrical  - Umeme wa majumbani 

IT solutions  - suluhisho kwenye mambo ya IT 

MUSTAPHA MADISH INSTALLERS - MOROGORO 

Tupo Morogoro Mjini tupigie +255777139413

email: mustaphamadish@gmail.com 

Whatsapp +255777139413

Wewe ni mmojawapo kati ya wale wanaosumbuliwa na mafundi ama unataka fundi na hujui pa kuwapata mafundi wazuri, wale mafundi kweli!!??

MAFUNDI WA KUFUNGA MIFUMO YA TV MOROGORO. 

Inajumuisha Dish aina zote, kufunga tv na kuuza vifaa vyote vinahusika kwenye kufunga mifumo ya tv. Tumebobea zaidi kufunga mifumo ya tv kwenye Hotel/Lodge, Apartment, Ofisini na hata majumbani kisasa na kwa ustadi wa hali ya juu!

Upo Morogoro unatafuta fundi wa Azamtv, upo morogoro unatafuta fundi wa dstv, upo morogoro unatafuta fundi wa startimes au upo morogoro unatafuta fundi visimbuzi/fundi madish kutana na team ya Mustapha Madish Installers sio tu utapata mafundi, kwanza utasikilizwa, utashauriwa na utapata mafundi kweli wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Pia utapata visimbuzi vyote, ukitaka kununua visimbuzi vyote, morogoro azamtv, morogoro dstv, morogoro startimes, morogoro mafundi madish.

MAFUNDI WA KUFUNGA MIFUMO YA ULINZI MOROGORO. 

Tunahusika na mifumo karibu yote ya kitaalam ya kulinda mali zako na kujilinda binafsi na kwa morogoro tumefungua ofisi ili msisumbuke kutufata dar es salaam. Msimamo wetu ni ule ule kazi bora, bei nafuu! Tunauza na kufunga:- CCTV Cameras - faida ya cctv camera unafatilia matukio, unaweka kumbukumbu, inafukuza wezi n.k. Electric fence - wezi ama kiumbe chochote ambacho hutataka kivuke kuingia ndani hakitaingia hata umeme ukiwa umekatika. Alarm system - hii inatoa tafadhali kama ni moto ama chochote cha hatari. Access control - mfumo wa kisasa wa kuendesha watu wako hususani kwa maofisini. Intercom doorbell - kengele ya kishua, anayegonga sio tu utazungumza nae bali pia utamuona. Motor gate - unaamua ufungue ama ufunge geti lako kupitia remote ama kupitia simu yako! Technology hii morogoro imewafikia. Tunapatikana morogoro mjini tupigie/WhatsApp +255777139413

MAFUNDI UMEME WA MAJUMBANI MOROGORO.

Unajenga nyumba yako ama jengo lako huna haja tena ya kutufata dar es salaam, tumekusogezea huduma wakazi wa morogoro tupigie/WhatsApp +255777139413 huduma zetu tunauza vifaa na kufanya WIRING - una nyumba/jengo unajenga tunachora mchoro  na kufanya wiring. AC - tunafunga hususani kwenye majengo. SUBMETER - tunafunga mbadala wa wale wasumbufu wa kununua umeme kwenye nyumba za kupanga.

SULUHISHO LA MAMBO YA IT MOROGORO. 

Tunafanya networking, Telephone na mambo mengine.

Share:

09‏/06‏/2018

MKOA GANI UNAIKOSA OFFER YA DSTV!!??

#DStvnimoto #Kamasiodstvpotezea
Niambie upo mkoa gani na je unaikosa offer mpya ya DStv!!??
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya mikoa kuuza visimbuzi kwa bei juu na huku sababu zikiwa nyingi, hii hapa ni nafasi ya pekee kwakon niambie upo mkoa gani na unauziwa bei gani dstv.
Offer ya DStv ni kama ifatavyo:-
Tsh 79,000 vifaa
Tsh 20,000 ufundi BURE!
Popote dar unaletewa
Unapata na kifurushi cha mwezi
Kuunganishwa
Whatsapp+255755949413
Share:

18‏/05‏/2018

ANGALIA KOMBE LA DUNIA KWA TSH 19,000 TU!

 
Hapa nazungumzia michuano ya kombe la dunia 2018 itakalofanyika urusi zaidi ya timu 30 kushiriki michuano hii..
Michuano hii inahusisha dunia hivyo wapenzi wa mpira duniani imeelekeza macho na masikikio kwenye michuano hii... Hapa kwa Tanzania kuna habari njema kutoka kwa wakongwe wa Digital, hapa nazungumzia Multichoice kupitia product yake ya DStv inakuletea michuano hii moja kwa moja toka urusi kwa kifurushi cha chini kabisa ambapo utalipia tsh 19,000 tu! licha ya kuangalia michuano ya kombe la dunia pia utaona channels nyengine zaidi ya 80 zikiwemo wa burudani, movie, watoto, michezo, makala, habari n.k
Umerahisishiwa ili uweze kupata unachostahili:-
Piga simu +255789476655 au Whatsapp+255784378129
DStv vifaa Tsh 79,000
Kufungiwa Tsh 20,000
Kama upo dar unaletewa popote ulipo bila kulipia zaidi!
Yote yanayohusu DStv namba za kupiga ni hizo hapo juu!!
Share:

17‏/04‏/2018

MAFUNDI WA DSTV

 Unapata ujumbe wa E48 kwenye kisimbuzi chako cha DStv!?
Hilo ni tatizo la signal na jinsi la kulitatua, cha kwanza angalia cable inayotoka kwenye dish na kuingia kwenye dish sehemu iliyoandikwa LNB IN ipo sawa haijachomoka!? Kama ipo sawa shida itakuwa kwenye dish hivyo tunapaswa kuja hapo kukutengenezea!
Kutokana na ukweli kwamba ujaji wa mfumo wa Digital kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira kwa vijana kwa kuendana na wakati uliopo, mojawapo ya ajira hizo ni Ufundi wa kufunga Ving'amuzi. Mafundi wamekuwa wengi ambao wapo wenye sifa na wapo wasio na sifa..
Tuzungumzie mafundi wa DStv ieleweke kwamba kuna ofisi za Multichoice  ( DStv ) baadhi ya mikoa Tanzania isipokuwa kuna mawakala karibia nchi nzima.. Wapo mafundi wa Multichoice na wapo mafundi wa mawakala pia kuna mafundi wa kujitegemea.. 
Mafundi wanaweza kukufanya wewe mteja either ufurahie huduma za DStv ama uzichukie kutokana na namna ya ufundi wake atakaokufanyia kwako!
Fundi wa DStv anapaswa kuwa na vifaa vifatavyo:-
  • Satellite Finder ( kwa ajili ya kutafuta signal )
  • Drill Machine ( kwa ajili ya kutobolea )
  • Spana zote muhimu ( kwa ajili ya kufunga )
  • Nyundo
Ukiachilia vifaa hivyo pia anapaswa kutumia vifaa vyote vitakavyokuwepo kwenye Dish katika ufungaji kwani kila kilichomo kina kazi yake na endapo kikiachwa hata kimojawapo yapo madhara ambayo yatakusababishia mteja wa DStv gharama zisizo za lazima na kupata ukakasi na huduma za DStv kutokana na picha kukatakata mara kwa mara, kuganda n.k
 FUNDI WA DSTV ATAKUFUNGIA HIVI:-


Kwenye LNB kipokea Signal toka kwenye Satellite na Kupeleka kwenye Decoder ya DStv, Coaxial cable itafungwa vizuri..

kisha Coaxial cable itafunikwa na kifuniko maalumu cha kuzuia maji maji kuingia kwenye cable, maji ambayo yakiingia yanaweza kuleta madhara, kama kupoteza signal, kuunguza LNB n.k....

 Kwa ufanisi huu hakuna sababu ya kopo, hapa hata kunguru hawezi kuharibu chochote, hata mvua ikinyesha hakuna madhara yatakayotokea, hata muonekano ni wa kuvutia...

 Kuna mengi kwenye ufundi, je wewe una tatizo gani kwenye upande wa ufundi kwenye!?
  • Unataka mafundi wa kukuhamisha kwenye nyumba mpya unayohamia
  • Unataka mafundi huoni picha hata namba 100
  • Unahitaji mafundi kwa ajili ya Extra view
  • Mafundi kwa ajili ya Explora
  • Unahitaji mafundi kwa ajili ya kufunga kwenye
  1. > Hotel
  2. > Lodge
  3. > Bar
  4. > Office
  5. > Apartment
Ushauri na yote yanayohusu mambo ya kiufundi DStv Piga +255784378129
Whatsapp +255755949413
Ukitaka kununua DStv bofya hapa
Insta @mustaphamadish

Share:

05‏/04‏/2018

DSTV Tsh 79,000/= | KIFURUSHI BURE | TUNAKULETEA BURE


Baada ya ile Offer kubwa iliyodumu kwa muda mrefu kumalizika..!! Bado Multichoice Tanzania imeona kuna kila sababu ya kuangalia namna ya kuwatafutia punguzo lengine ili muweze kufurahia huduma za DStv na sasa ni hii hapa kwa Tsh 79,000 tu unapata vifaa vyote pamoja na kufungiwa Tsh 20,000.. hii imerahisishwa zaidi kwa maana kuna maeneo ambayo mteja unafatwa mpaka ulipo ni wewe tu kupiga simu +255789476655 au Whatsapp+255784378129
Bei ya Tsh 79,000/= Vifaa vyote!
Kufungiwa Tsh 20,000/= na ili uweze kuona unachagua kifurushi na kulipia bofya link hapo chini:-
Kwa maelezo zaidi kama upo Instagram natumia @Mustaphamadish
Share:

30‏/03‏/2018

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM



Habari mdau wa Digital tv kiujumla!
Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati naomba tusameheane kwa kuwa majukumu nayo yamekuwa meengi na sio muda wote napitia hii blog, hivyo naomba niwape njia nyepesi ambayo nitakuwa naona maoni yenu kwa wakati na kuyajibu kwa yanayotakiwa majibu.
Iwe mtumiaji yeyote wa Azamtv, Continental, DStv, Digitek, Startimes, Ting na Zuku.
Kwa walio INSTAGRAM natumia @Mustaphamadish nifollow kisha uliza chochote kuhusu king'amuzi chochote na utajibiwa kwa wakati!

Share:

28‏/03‏/2018

STARTIMES CHANNEL 5 BURE HATA USIPOLIPIA


Startimes ni moja kati ya ving'amuzi ambavyo vinapaswa kuacha channels za Tanzania uzione bure hata kama malipo yako yameisha.. Hii ni kwa Startimes ya Dish na Antanna..!
Je wewe ni mtumiaji wa Startimes na je unapata channel za tanzania bure hata usipolipia!?
Kwa maelezo zaidi kama upo Instagram natumia 
 
Share:

12‏/03‏/2018

OFFER MPYA YA DSTV INAKUFATA ULIPO!


Popote ulipo kwa Dar es salaam ikiwa unahitaji kisimbuzi ( Decoder ) ya dstv unachopaswa kufanya ni kupiga tu simu namba 0789476655 kisha kwa Tsh 79,000 tu unaletewa mpaka ulipo na kufungiwa!
- Utapata vifaa vyote kama:-
Dish
LNB
Decoder HD
HDMI cable
AV cable
Adapter
Remote + betri
Coaxial cable
- Fundi akikufungia ikiharibika ndani ya miezi mitatu anakuja kufanya repair BURE!
- Unapata kifurushi cha Compact kwa mwezi mmoja ( Tsh 44,000 )
- Unaletewa mpaka ulipo BURE!
Piga sasa ama tuma ujumbe mfupi ama Whatsapp+255784378129
Share:

22‏/02‏/2018

CHANNEL ZA TANZANIA NI BURE KWENYE VING'AMUZI

Imekuwa kuna kuulizwa kila siku na watumiaji wa ving'amuzi ni kwanini local channel hazibaki kwenye ving'amuzi baada ya kifurushi alicholipia kuisha, wakati huo huo ving'amuzi vyengine channels za local zinabaki!
Ni kwamba channels zinazotakiwa kubaki hata kama kifurushi chako kimeisha ni sita ambazo ni:-
  1. TBC 1
  2. ITV
  3. Start tv
  4. Clouds tv
  5. Channel 10
  6. EATV
Kwa ving'amuzi vinne tu ambavyo ni:-
  • Continental
  • Digitek
  • Startimes
  • Ting 
Ikiwa kuna tofauti yeyote unayoipata inayopingana na taarifa hii unapaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika kwa kufata utaratibu huu:-
 Kama una swali lolote piga
+255789476655
Kuanzia saa 2:00 asubuhi - saa 2:00 usiku
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




يتم التشغيل بواسطة Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

الاسم

بريد إلكتروني *

رسالة *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413

Post zilizokupita