Aug 29, 2017


Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-
1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!
Kwa Maelezo zaidi +255789476655
7:47 AM   Posted by Mustapha Hanya in with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Felix Ajuna said...

Kuna haja ya kupunguza tena bei za vifurushi Hali ngum mtaani
Vibanda umiza vimeanza kufungwa

Chacha Msira said...

Hii iko vizuri,Ila ishuke iendane na kipato cha mtanzania was kawaida.

Justine kaduma said...

Ukilipia kifurushi cha premium mwaka mmoja ni sawa nakujenga nyumba ya vyuumba vitatu standard kuweni makini pesa ya sasa ngumu tunapenda lakini kwa bei hizo wacha tukomae na zuku

Anonymous said...

namba za simu tunapiga mpaka tunakoma hampokei hata sijui kwa nini mimi nilitaka kuuliza kifurushi cha shilingi elfu kumi na tisa nitaona kombe la dunia

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search