Apr 2, 2017

Azam tv, decoder yake yenyewe kama yenyewe haina uwezo wa kugawa kwa tv nyengine kwa kutumia RF Cable kama ilivyo king'amuzi cha DStv, hii imepelekea watumiaji wengi wa Azam tv kushindwa kugawa kwenye tv nyengine ila hii inatokana na uelewa mdogo wa fundi husika, sasa leo tutapeana faida jinsi ya kugawa picha kutoka kwenye king'amuzi cha azam na kwenda kwenye tv nyengine kwa idadi utakayo!

Hii ni AV Cable ambayo itatoa picha toka kwenye king'muzi cha Azam tv na kupeleka moja kwa moja mpaka kwenye RF Modulator ambayo itageuza AV kuwa RF. Kutoka kwenye king'amuzi kwenda kwenye Modulator zitaingia cable 3, zenya rangi 3 na inapotoka kwenye Modulator inatoka cable 1 yenye rangi moja ambayo inajulikana kama Coaxial cable ( RF Cable )

Decoder ya Azam tv

RF ModulatorPost hii inaendelea.....!!KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
 +255789476655
2:00 asubuhi - saa 2:00 usiku
7:26 AM   Posted by Mustapha Hanya in with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Najipanga kisha ntawatafuta wataalamu nahitaji niwe naangalia Azam tv na kwa tvs za chumbani,ntawatafuta.

Anonymous said...

Nataka kuunga Azam tv na dstv pamoja hii inawezekana?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search