Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label CCTV Cameras Installation. Show all posts
Showing posts with label CCTV Cameras Installation. Show all posts

Aug 19, 2017

TUPE RUKSA YA KUZILINDA MALI ZAKO!

Moja kati ya Hiden Camera ambazo hazionekani, hii ni kwenye Office. Tuna njia mbili za kuomba ruksa yako tuzilinde ama tuzifanye mali zako kuwa salama muda wote, ama kukufanya kana kwamba upo eneo la tukio hali ya kuwa pengine upo ne ya nchi lakini bado ukiendelea kuona...
Share:

Aug 1, 2017

GHARAMA ZA KUFUNGA CCTV CAMERAS | CCTV CAMERAS INSTALLATION COSTS

Watanzania wengi wanadhani ya kuwa kufunga moja ya mfumo wa ulinzi nyumbani/ofisini ama popote ambapo ungehitaji ni gharama kuubwa na wale kina wenzangu na mie hawawezi kumudu.. hii sio kweli kabisa.. Kila kitu kipo cha bei ya juu na bei ya chini pia huku ubora ukawa unatofautiana...
Share:

Jun 4, 2017

HIDEN CAMERA

Hapa tunazungumzia ule mfumo wa CCTV CAMERAS ni katika kuhakikisha ulinzi wa mali yako ama eneo unalomiliki lipo salama kama si chini ya uangalizi wako muda wote,pasi kudanganywa wala kupitwa! HIDEN CAMERA ni camera ambayo mara nyingi inakuwa ni ndogo na hata ukaaji wake...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413