
Hii nimejumuisha Ving’amuzi vyote iwe Azam
tv,DStv,Startimes,Zuku,Continental,Digitek na hata Receiver za FTA kiujumla.
Angalia kwenye orodha king’amuzi unachotumia kisha ukibofya
utapata maelezo ya kina tatizo na nini unachopaswa kufanya.
...