Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label azam tv bei mpya. Show all posts
Showing posts with label azam tv bei mpya. Show all posts

Mar 27, 2015

VIFURUSHI VYA AZAM TV | AZAM TV PACKAGES

Awali hakukuwa na mfumo huu wa vifurushi ila kutokana na uendeshaji na kutafuta maboresho imepelekea kuanza mfumo huu wa vifurushi,katika kumbukumbu za wengi ndicho king'amuzi kilichokuwa quality,channels nyingi ila malipo ya mwezi ni madogo! Hivi ndivyo vifurushi vya...
Share:

Mar 1, 2015

BEI MPYA YA AZAM TV TSH 135,000/=

Hii ni kwa wateja wapya ambao wanataka kujiunga na azam tv,bei ya vifaa ni tsh 135,000/= hii namaanisha bila ufundi wala kifurushi! Ili kufurahia huduma za azam tv inakupasa kufata utaratibu huu:- VIFAA tsh 135,000/= Inajumuisha Dish ikiwa na LNB,,Decoder ikiwa na smart...
Share:

Feb 3, 2015

KIFURUSHI CHA AZAM PURE | AZAM PURE PACKAGE | TSH 18,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam pure:- Kuna zaidi ya channel 60 Kwa wiki Tsh 7,000/= Kwa mwezi Tsh 18,000/=  Universal TV BBS TV Clouds TV Rwanda Salam TV Magic One Channel 44 ASTV (Africa Swahili TV) Boing Africa News Spark TV TV...
Share:

Jan 9, 2015

KIFURUSHI CHA AZAM PLAY | AZAM PLAY PACKAGE | TSH 28,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam play:- Kuna zaidi ya channel105 Sony Max UK Sony Channel UK Universal TV BBS TV Clouds Plus Royal TV Rwanda BET MSNBC National Geographic Wild Baby TV Fox News Clouds TV Rwanda Salam TV Magic One Channel...
Share:

Jan 4, 2015

KIFURUSHI CHA AZAM PLUS | AZAM PLUS PACKAGE | TSH 23,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam plus:- Kuna zaidi ya channel 54 Universal TV BBS TV Royal TV Rwanda BET National Geographic Wild Baby TV Clouds TV Rwanda Salam TV Magic One Channel 44 ASTV (Africa Swahili TV) Boing Africa News Spark TV...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

4645368

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413