Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label azam tv packages. Show all posts
Showing posts with label azam tv packages. Show all posts

Aug 25, 2017

KIFURUSHI CHA AZAM LITE | AZAM LITE PACKAGE | TSH 10,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam lite:- Kuna zaidi ya channel 55  Kwa wiki ni Tsh 3,000/= na kwa mwezi ni Tsh 10,000/= Universal TV BBS TV Royal TV Rwanda Clouds TV Rwanda Salam TV Magic One Channel 44 ASTV (Africa Swahili TV) Boing...
Share:

May 1, 2017

OFFER YA AZAM TV 2018

Azam tv inaendeleza kufanya vizuri na sasa ina Offer kwenye malipo ya mwezi! Bei ya kununua King'amuzi ni Tsh 135,000/= bila Ufundi wala Kifurushi Ufundi ni Tsh 30,000/= Vifurushi Bofya Hapa Offer unayopata ni: Kifurushi cha Tsh 15,000/= ambacho sasa kimekuwa Tsh 10,000/=...
Share:

Sep 25, 2016

OFFER YA AZAM TV 2016

Lipia kifurushi cha Azam Play Tsh 28,000/= kwa miezi 12 ( Mwaka mmoja ) ambapo ni Tsh , utapata Vifaa na Kufungiwa bureee!!! Hii itakufanya uokoe Tsh 165,000/= Offer hii iawahusu wateja wapya tu! Kujua vifurushi na channels zilizopo kwenye Azam Tv Bofya Hapa Kupata mafundi...
Share:

Apr 12, 2016

KOPO HALISAIDII CHOCHOTE KWENYE DISH

Leo nimeonelea niongelee hili jambo kwakuwa ukiachilia kuliona sehemu mbali mbali pia nimekuwa nikulizwa kama kuna umuhimu wa wenye ving'amuzi vya madish kuweka makopo?  Jambo la awali la kuzingatia king'amuzi kiwe cha Dish ama Antenna kina namna ya ufungaji wake...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413