Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label TBC. Show all posts
Showing posts with label TBC. Show all posts

Aug 9, 2017

KUPATA CHANNELS ZA BURE KWENYE HOTEL/LODGE

 Ili uweze kupata channels za Local ( Tanzania ) kwa kupata habari na vipindi vya nyumbani bila kufanya malipo ya mwezi,hapo hapo kila tv ikijitegemea yenyewe bila kuingiliana na nyengine kwa kila chumba,huku idadi ikiwa kuanzia channel sita ( 6 ) na kuendelea,unapaswa...
Share:

Sep 29, 2015

CHANNEL ZA LOCAL BURE | VING'AMUZI VYOTE

Utatumia king'amuzi gani!!?? Swali la kwanza ambalo naweza kukuuliza.. Najua kwa mapenzi ya king'amuzi ulichokichagua na kukinunua ukiachilia mapenzi yako ila umehitaji kuona na Local Channel maana yake uone mambo yanayoendelea nyumbani kwako ikiwemo taarifa...
Share:

Nov 29, 2013

TATIZO LAKO NI NINI ILI UPATE CHANNEL UTAKAZO!!??

Kwa Office nikikungoja wewe! Kuhusu visimbuzi vyote kama:- DStv, Azam tv, Startimes na Zuku. Pengine toka ilipotulazimu tuingia kwenye Digital,ndugu yangu wewe bado hukuwa tayari,ama hujui ni King'amuzi gani bora cha kununua na ukapata kile ulichokuwa unakihitaji! Una...
Share:

May 28, 2011

BAHARI LODGE nimesababisha..!!

Ilikuwa Alihamisi na Ijumaa nilikuwa pale maeneo ya Bahari beach,wenyewe wanapaita njia panda ya kwenda bahari beach hotel dar es salaam,hapa kuna lodge moja ya kisasa safi sana inaitwa BAHARI LODGE..!! Issue ilikuwa Local hazionyeshi kwa TV zote nami nilihitajika...
Share:

Nov 21, 2010

C Band Single Solution Cable!!

 Hii ni kwa wale wanaokaa sehemu zenye shida kupatikana Signal,kama mabondeni,karibu na minara ama wamezungukwa na mitambo mitambo!! C band hii hutumika kwenye Dish ya C band tu ijapokuwa kuna KU ambazo zinahimili interference pia kama ilivyo hii isipokuwa mara nyingi...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413