Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label Dstv. Show all posts
Showing posts with label Dstv. Show all posts

Jan 3, 2018

UNAZIJUA BEI NA OFFER ZA VING'AMUZI 2018!?

Biashara ushindani hivyo kuna maboresho kila kukicha kwenye swala la kukidhi haja za wateja na leo nakuletea list ya bei za ving'amuzi kwa mwaka 2017 na jinsi ya kununua kwa bei hii:- Azam tv inauzwa Tsh 135,000/= Hii bila kifurushi wala Ufundi! Ila ina Offer katika...
Share:

Nov 27, 2017

ZIJUE OFFER ZA VING'AMUZI 2017 KUELEKEA 2018

Tunaelekea katika kumaliza mwaka 2017 na tunategemea kuingia mwaka 2018, yapo mengi ambayo kupitia blog hii umefaidika kwa hali yeyote ile kama ndivyo tunashukuru kwakuwa ndio lengo letu, lakini pia nadhani yapo yaliyokukera kupitia blog hii kama ndivyo tunasikitika na kukuomba...
Share:

Aug 29, 2017

DSTV YASHUSHA BEI ZAIDI | VIFURUSHI 2018

Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Hii ni bei ilianza tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei ambayo ni kama ifatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:- 1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu! 2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu! 3.Compact...
Share:

May 31, 2017

UFUNDI UNAHITAJI UMAKINI

Kwanza ukishakuwa Fundi moja kwa moja unaaminika kwa taaluma uliyonayo hivyo mteja ama jamii kwa ujumla wanajikuta wanaona unachofanya ama kusema ndicho sahihi kutokana na wadhifa wako hata kama ni cha uongo… Binafsi niwape angalizo wateja na mafundi kiujumla kwanza nianze na...
Share:

Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI

Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko.. Mafanikio yanahitaji:- Kupenda unachofanya Kukijua...
Share:

Dec 2, 2016

TV E TANZANIA | KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Siku zote ili ufanye vizuri ni lazima upate mpinzani na ndicho kinachotokea hapa.. Historia inaonyesha Clouds Fm ilifanikiwa kuzipoteza radio ambazo alizikuta katika swala la burudani na kupelekea kuunyanyua kwa kiasi kikubwa music wa Bongo Flavour,mpaka ikafikia hatua...
Share:

Oct 25, 2016

MAFUNDI WA VING'AMUZI TANZANIA

Mafundi wa uhakika wa king'amuzi chako unachotumia limekuwa tatizo kubwa hasa kwa baadhi ya maeneo,hii imepelekea baadhi ya wateja kuona yakwamba king'amuzi anachotumia ni tatizo kwakuwa hakupata Fundi makini ambaye angeweza kumfungia ama kumrekebishia ipasavyo.....
Share:

Oct 1, 2016

MSIMU WA OFFER 2016 | VING'AMUZI TANZANIA

  Tunaelekea kumaliza mwaka 2016 na kutokana na ushindani uliopo katika ukanda wa Digital tv,makampuni ya Ving'amuzi yanajitahidi kutafuta namna ya kushawishi wateja wapya na kujiunga na ving'amuzi vyao huku wakiwafanya wateja walionao kutowapoteza kwa kuboresha huduma...
Share:

Sep 7, 2016

KUTANA NA MAFUNDI WA DSTV #fundimakini

Wewe ni mteja wa DStv!? Una tatizo la kiufundi ama unahitaji Ushauri wa kiufundi? Kupata mawasiliano ya Mafundi wa uhakika..  Je unataka kujiunga na DStv? Unataka kupata Mafundi wa uhakika na wazoefu? Piga +255789476655 Ukifungiwa nasi:- Unapata miezi...
Share:

Jul 1, 2016

KUEPUKA DISH YAKO KUPATA KUTU

Niwe mkweli katika hili usipopata fundi makini uwezekano wa kuepuka hili ni mdogo sana vinginevyo muhusika uwe makini sana na Fundi wako ingawaje mara nyingi muhusika inakuwia vigumu kuona jinsi fundi wako alivyofunga Dish huko juu ya paa!! Sababu zinazopelekea Dish kupata...
Share:

Jun 30, 2016

KUFUNGA DISH NDOGO ( KU DISH INSTALLATION )

Kwakuwa karibu Ving'amuzi vyote Tanzania vinatumia Dish ndogo leo niwape kasomo haka alau mwenye kujaribu na ajaribu atakapopata wasaa!! Fanya haya ili uweze kufunga Dish ndogo:- 1.Dish Antenna Assembly: - Unganisha kifaa kimoja kimoja kama karatasi ya maelekezi inavyoonyesha...
Share:

Jun 13, 2016

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Pata msaada wa haraka na updates za Visimbuzi instagram @mustaphamadish Hili ni moja kati ya yale ambayo ni kero kwa watumiaji wa ving'amuzi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha na kukosa sehemu ya kupata maelezo ya kina kama hapa! Swali la kwanza unatumia...
Share:

May 15, 2016

JINSI YA KUUNGA COAXIAL CABLE ( SIGNAL CABLE )

Leo nimeonelea tuelekezane jambo hili ambalo limeshakuwa ni tatizo miongoni mwa watumiaji wengi wa ving'amuzi,lengo langu likiwa ni lile lile sote kwa pamoja tuhamie Digital huku tukiwa na ufahamu wa kutosha juu ya ulimwengu huu! Sio jambo geni kuunga Cable ya Signal,ile Cable...
Share:

Apr 12, 2016

UMELIPIA NA BADO HUPATI PICHA!?

Hili ni janga kubwa karibia kwa wateja wote wa ving'amuzi vya kulipia,unafanya malipo lakini hupati picha kwa wakti ama hupati picha kabisa! Njia za kufanya ili usipate usumbufu wakati wa kufanya malipo ya mwezi:- > Kabla ya kufanya malipo hakikisha unajua bei ya kifurushi...
Share:

Mar 24, 2016

NINI UFANYE KING'AMUZI CHAKO KIKIPOTEZA SIGNAL!!

Ukiona neno NO SIGNAL ama kwa kukurahisishia ukiona hupati picha kwenye King'amuzi chako na unapata ujumbe ambao hauhusiani na malipo ujue kuna tatizo la Signal lakini utathibitisha vipi kujua kama ni kweli tatizo ni Signal. > Kila King'amuzi kina channel ya/za bure (...
Share:

Mar 10, 2016

CUSTOMER CARE ZA VING'AMUZI TANZANIA

Katika vitu wanavyofail karibia makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania ni CUSTOMER CARE ingawaje baadhi ya makampuni wameboresha lakini si kwa kukidhi mahitji ya wote.. Nilichogundua ni kwamba wateja wengi hawapendi kupokelewa na mashine,muda ambao mteja anasikiliza...
Share:

Dec 6, 2015

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI DSTV

Wateja wengi wa DStv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue vifurushi vya Dstv kwa Kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi cha DStv...
Share:

Aug 9, 2015

EPUKA USUMBUFU | ILI USIJUTE KIFURUSHI ULICHOLIPIA

KUTOKA KWANGU KUJA KWENU: Imezoeleka hii tabia hasa kwa wateja wa DStv na Azam tv wale ambao wenzangu na mie yaani wachumi sanaa! Ambao sijajua vizuri kuwa wanajua sana thamani ya pesa zao ama ni nini!? Ila hii nadhani uswahili pia unahusika katika hili! WATEJA WA AZAM TV:  ...
Share:

May 11, 2015

VING'AMUZI VINAVYOCHUANA | AZAM TV & DSTV | KIPI NI ZAIDI!?

Dstv ni wakongwe hii haina ubishi,ila ukongwe wa dstv haina maana kuwa hakuna king'amuzi ambacho kinaweza kuja na kufanya vizuri zaidi yake,hii inatokana na kwanza kujua mahitaji ya watazamaji kwa ujumla na kuwatimizia kile wanachokihitaji,unafuu wa bei ukizingatiwa. Azam...
Share:

Apr 9, 2015

BEI MPYA ZA MALIPO YA MWEZI DSTV

Ikiwa wadau wapo katika kulala na kuomba angalau gharama za malipo ya mwezi zipungua,hali imekuwa tofauti kutokana na gharama za uendeshaji ambapo imepelekea kupanda kwa bei za malipo ya mwezi kwa vifushi vyote vya Dstv kama ifuatavyo:- BOMBA PACKAGE  Awali ilkuwa tsh...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413