
KUNA AINA MBILI YA VING'AMUZI:-
DISH - kinacotumia Dish
ANTENNA - kinachotumia Antenna
Malipo ya mwezi yanapoisha wengi tunajua ya kuwa Local channel zinabaki ni kweli ila sio kwa ving'amuzi vyote!
Kuna namna mbili ya walivyofanya Startimes vipo ving'amuzi...