Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label startimes packages. Show all posts
Showing posts with label startimes packages. Show all posts

Mar 28, 2018

STARTIMES CHANNEL 5 BURE HATA USIPOLIPIA

Startimes ni moja kati ya ving'amuzi ambavyo vinapaswa kuacha channels za Tanzania uzione bure hata kama malipo yako yameisha.. Hii ni kwa Startimes ya Dish na Antanna..! Je wewe ni mtumiaji wa Startimes na je unapata channel za tanzania bure hata usipolipia!? Kwa maelezo...
Share:

Apr 12, 2016

KOPO HALISAIDII CHOCHOTE KWENYE DISH

Leo nimeonelea niongelee hili jambo kwakuwa ukiachilia kuliona sehemu mbali mbali pia nimekuwa nikulizwa kama kuna umuhimu wa wenye ving'amuzi vya madish kuweka makopo?  Jambo la awali la kuzingatia king'amuzi kiwe cha Dish ama Antenna kina namna ya ufungaji wake...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413