Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label facebook/mustaphamadish. Show all posts
Showing posts with label facebook/mustaphamadish. Show all posts

Sep 7, 2017

PENDA UNACHOFANYA..

ILI UFANIKIWE...  NIMEJIFUNZA KUZINGATIA MOJA KATI YA VITU MUHIMU.. NI KUPENDA UNACHOFANYA.. ..... Hapa siangalii sana napata bei gani ingawaje pesa ndio ambayo hasa tunaitafuta.. Nna mengi ya kuzungumza hapa ila leo somo liwe moja tu kwa Vijana wenzangu na wote ambao...
Share:

May 15, 2016

JINSI YA KUUNGA COAXIAL CABLE ( SIGNAL CABLE )

Leo nimeonelea tuelekezane jambo hili ambalo limeshakuwa ni tatizo miongoni mwa watumiaji wengi wa ving'amuzi,lengo langu likiwa ni lile lile sote kwa pamoja tuhamie Digital huku tukiwa na ufahamu wa kutosha juu ya ulimwengu huu! Sio jambo geni kuunga Cable ya Signal,ile Cable...
Share:

Oct 16, 2014

UWEZO BINAFSI

Ijapokuwa imepita miezi ipatayo 10 ila hili ni moja kati ya niyakumbukayo na ya kujivunia pia na sababu napokea simu mpaka wakati mwengine naona imepitiliza ila kwakuwa ndo kazi yangu sinabudi kumaliza shida za wadau wangu... Nakumbuka ni maeneo ya sinza pale kumekucha...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413