Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label Mafundi wa Continental. Show all posts
Showing posts with label Mafundi wa Continental. Show all posts

Jun 10, 2016

SI LAZIMA KUTAFUTA FUNDI

Nilikwishasema na leo narejea tena inapotokea king'amuzi chako hakionyeshi la kufanya kwanza Bofya Hapa ukiona bado huelewi hebu fanya jitihada za kulifikia Dish lako ama Antenna yako!! Sasa kama hii Dish fundi atacharge pesa ya signal wakati ilikuwa ni kukata hayo...
Share:

Feb 17, 2016

VIFURUSHI VYA CONTINENTAL DECODER

Yawezekana mpaka sasa kwenye king'amuzi chako cha Continental channel zipo ila huoni picha kila ukibadili unakutana na kialama cha $ maana yake mpaka ulipie ehee tunalipiaje:- Mteja wa continental. Kulipia kumeanza tarehe 15 February 2016, baada ya kutokuwa na malipo...
Share:

Nov 8, 2014

WEWE NI FUNDI MADISH | HII INAKUHUSU SANA

Hapa nazungumzia wale ambao wapo kitambo na ambao wamejiunga hivi karibuni ama hata kama unataka kuingia ukanda huu kwa mikono miwili nakukaribisha na hii post inakuhusu sana zaidi ya yote ukiyachukua yangu na kuyafanyia kazi majibu utanirejeshea! Ufungaji wa Dish ya Azam...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413