Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label Azam tv. Show all posts
Showing posts with label Azam tv. Show all posts

Nov 27, 2017

ZIJUE OFFER ZA VING'AMUZI 2017 KUELEKEA 2018

Tunaelekea katika kumaliza mwaka 2017 na tunategemea kuingia mwaka 2018, yapo mengi ambayo kupitia blog hii umefaidika kwa hali yeyote ile kama ndivyo tunashukuru kwakuwa ndio lengo letu, lakini pia nadhani yapo yaliyokukera kupitia blog hii kama ndivyo tunasikitika na kukuomba...
Share:

Sep 3, 2017

BEI & VIFURUSHI VIPYA AZAM TV

  AZAM LITE Tsh 10,000/= Channels 55+ Kujua Channel zilizopo Bofya Hapa AZAM PURE Tsh 18,000/= Channels 60+ Kujua channel zilizopo Bofya Hapa AZAM PLUS Tsh 23,000/= Channels 90+ Kujua channel zilizopo Bofya Hapa AZAM PLAY Tsh 28,000 Channels 105+ Kujua channels zilizopo...
Share:

Jul 26, 2017

UNAMLIPAJE FUNDI HUYU!?

Kwa mara ya kwanza naiona hii Dish kwanza nilicheka.. nilicheka kwakuwa vinachekesha na wala sikutegemea kukutana na kitu kama hiki.. Ndio nimekutana na dish nyingi zilizofungwa na kina #FundiKalipua ila hii inachekesha.. Kilichonifanya nicheke zaidi ni mteja kukubaliana na...
Share:

Jul 7, 2017

UKITAKA KUNUNUA KING'AMUZI CHA AZAM TV | ZINGATIA HAYA!

NB: Bei zimebadilika, ili kujua bei mpya na offer zilizopo Whatsapp +255658046655Moja ya king'amuzi kilichokubalika kwa muda mfupi sana na kuzoa wateja wengi ndani na nje ya Tanzania.. Hiki ndicho king'amuzi pekee mpinzani mkubwa wa DStv.. Azam tv wamejua ni nini wadau...
Share:

Dec 26, 2016

TUNAAGA 2016 | KWA KUJITUMA ZAIDI

Mafanikio hayana njia ya mkato,ukipata kauli za wengi wa liofanikiwa watakwambia njia walipitia na kamwe hakuna njia ya mkato.. nimejifunza kutokutamani mafanikio ya mtu bila kuwa tayari kupitia hatua za kufikia mafaniko.. Mafanikio yanahitaji:- Kupenda unachofanya Kukijua...
Share:

Dec 2, 2016

TV E TANZANIA | KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Siku zote ili ufanye vizuri ni lazima upate mpinzani na ndicho kinachotokea hapa.. Historia inaonyesha Clouds Fm ilifanikiwa kuzipoteza radio ambazo alizikuta katika swala la burudani na kupelekea kuunyanyua kwa kiasi kikubwa music wa Bongo Flavour,mpaka ikafikia hatua...
Share:

Oct 30, 2016

MAANDALIZI YA SIGNAL QUALITY #FundiMakini

Kitu kizuri kwenye ulimwengu wa Digital Tv hususani kwa Tanzania kinakuja.. Lengo ni kusaidia watanzania wote kwa ukaribu zaidi kuhusu ulimwengu wa Ving'amuzi.. Kuna udhaifu mkubwa katika kutoa habari,msaada,ushauri nk. kwa jamii kuhusu ulimwengu wa Digital...
Share:

Oct 25, 2016

MAFUNDI WA VING'AMUZI TANZANIA

Mafundi wa uhakika wa king'amuzi chako unachotumia limekuwa tatizo kubwa hasa kwa baadhi ya maeneo,hii imepelekea baadhi ya wateja kuona yakwamba king'amuzi anachotumia ni tatizo kwakuwa hakupata Fundi makini ambaye angeweza kumfungia ama kumrekebishia ipasavyo.....
Share:

Oct 1, 2016

MSIMU WA OFFER 2016 | VING'AMUZI TANZANIA

  Tunaelekea kumaliza mwaka 2016 na kutokana na ushindani uliopo katika ukanda wa Digital tv,makampuni ya Ving'amuzi yanajitahidi kutafuta namna ya kushawishi wateja wapya na kujiunga na ving'amuzi vyao huku wakiwafanya wateja walionao kutowapoteza kwa kuboresha huduma...
Share:

Jul 1, 2016

KUEPUKA DISH YAKO KUPATA KUTU

Niwe mkweli katika hili usipopata fundi makini uwezekano wa kuepuka hili ni mdogo sana vinginevyo muhusika uwe makini sana na Fundi wako ingawaje mara nyingi muhusika inakuwia vigumu kuona jinsi fundi wako alivyofunga Dish huko juu ya paa!! Sababu zinazopelekea Dish kupata...
Share:

Jun 13, 2016

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI KWENYE KING'AMUZI CHAKO

Pata msaada wa haraka na updates za Visimbuzi instagram @mustaphamadish Hili ni moja kati ya yale ambayo ni kero kwa watumiaji wa ving'amuzi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha na kukosa sehemu ya kupata maelezo ya kina kama hapa! Swali la kwanza unatumia...
Share:

May 15, 2016

JINSI YA KUUNGA COAXIAL CABLE ( SIGNAL CABLE )

Leo nimeonelea tuelekezane jambo hili ambalo limeshakuwa ni tatizo miongoni mwa watumiaji wengi wa ving'amuzi,lengo langu likiwa ni lile lile sote kwa pamoja tuhamie Digital huku tukiwa na ufahamu wa kutosha juu ya ulimwengu huu! Sio jambo geni kuunga Cable ya Signal,ile Cable...
Share:

Apr 12, 2016

UMELIPIA NA BADO HUPATI PICHA!?

Hili ni janga kubwa karibia kwa wateja wote wa ving'amuzi vya kulipia,unafanya malipo lakini hupati picha kwa wakti ama hupati picha kabisa! Njia za kufanya ili usipate usumbufu wakati wa kufanya malipo ya mwezi:- > Kabla ya kufanya malipo hakikisha unajua bei ya kifurushi...
Share:

Mar 24, 2016

NINI UFANYE KING'AMUZI CHAKO KIKIPOTEZA SIGNAL!!

Ukiona neno NO SIGNAL ama kwa kukurahisishia ukiona hupati picha kwenye King'amuzi chako na unapata ujumbe ambao hauhusiani na malipo ujue kuna tatizo la Signal lakini utathibitisha vipi kujua kama ni kweli tatizo ni Signal. > Kila King'amuzi kina channel ya/za bure (...
Share:

Mar 10, 2016

CUSTOMER CARE ZA VING'AMUZI TANZANIA

Katika vitu wanavyofail karibia makampuni yote ya ving'amuzi Tanzania ni CUSTOMER CARE ingawaje baadhi ya makampuni wameboresha lakini si kwa kukidhi mahitji ya wote.. Nilichogundua ni kwamba wateja wengi hawapendi kupokelewa na mashine,muda ambao mteja anasikiliza...
Share:

Dec 1, 2015

JINSI YA KUHAMA KIFURUSHI AZAM TV

Wateja wengi wa Azam tv wanakumbwa na kadhia hii,kutokujua utaratibu kwa kutaka kuhama kutoka kifurushi kimoja kwenda kingine hivyo kwa post hii utaelewa vema jinsi ya kuhama kifurushi! Kwanza vijue Vifurushi vya Azam tv kwa kubofya Hapa Ikitokea umelipia kifurushi...
Share:

Aug 9, 2015

EPUKA USUMBUFU | ILI USIJUTE KIFURUSHI ULICHOLIPIA

KUTOKA KWANGU KUJA KWENU: Imezoeleka hii tabia hasa kwa wateja wa DStv na Azam tv wale ambao wenzangu na mie yaani wachumi sanaa! Ambao sijajua vizuri kuwa wanajua sana thamani ya pesa zao ama ni nini!? Ila hii nadhani uswahili pia unahusika katika hili! WATEJA WA AZAM TV:  ...
Share:

May 11, 2015

VING'AMUZI VINAVYOCHUANA | AZAM TV & DSTV | KIPI NI ZAIDI!?

Dstv ni wakongwe hii haina ubishi,ila ukongwe wa dstv haina maana kuwa hakuna king'amuzi ambacho kinaweza kuja na kufanya vizuri zaidi yake,hii inatokana na kwanza kujua mahitaji ya watazamaji kwa ujumla na kuwatimizia kile wanachokihitaji,unafuu wa bei ukizingatiwa. Azam...
Share:

Mar 27, 2015

VIFURUSHI VYA AZAM TV | AZAM TV PACKAGES

Awali hakukuwa na mfumo huu wa vifurushi ila kutokana na uendeshaji na kutafuta maboresho imepelekea kuanza mfumo huu wa vifurushi,katika kumbukumbu za wengi ndicho king'amuzi kilichokuwa quality,channels nyingi ila malipo ya mwezi ni madogo! Hivi ndivyo vifurushi vya...
Share:

Feb 3, 2015

KIFURUSHI CHA AZAM PURE | AZAM PURE PACKAGE | TSH 18,000

Zijue channel zilizopo kwenye kifurushi cha azam pure:- Kuna zaidi ya channel 60 Kwa wiki Tsh 7,000/= Kwa mwezi Tsh 18,000/=  Universal TV BBS TV Clouds TV Rwanda Salam TV Magic One Channel 44 ASTV (Africa Swahili TV) Boing Africa News Spark TV TV...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413