Call / WhatsApp +255755949413

Showing posts with label dstv decoder. Show all posts
Showing posts with label dstv decoder. Show all posts

Sep 8, 2016

OFFER YA DSTV 2016

Ile kununua kwa Tsh 79,000/= bado inaendelea ingawaje kwa sasa hakuna ile kupata na kifurushi cha Compact badala yake kuanzia Tarehe 1/11/2016 Vifurushi vyote vya DStv vitapungua bei..  Ili kujua bei mpya Bofya Hapa Vifaa ni Tsh 79,000/= Unapata Dish,Decoder HD,Lnb...
Share:

Apr 15, 2016

AV CABLE NI NINI!?

A inasimama badala ya Audio - Sauti V inasimama badala ya Video - Picha Zinakuwa nyaya tatu zenye rangi tatu tofauti:- Nyekundu - Sauti Kulia Nyeupe - Sauti Kushoto Nyano - Picha Hivyo tafsiri nyepesi ni kwamba AV CABLE ni waya unaosafirisha Sauti na Picha kutoka kwenye...
Share:

Oct 29, 2014

DSTV PACKAGES | VIFURUSHI VYA DSTV

Lengo la kuwa na vifurushi tofauti ni kutoa fulsa kwa kila mdau kuweza kununua na kufanya malipo ya mwezi kutokana na uwezo wake. Hivi ndivyo vifurushi vya DStv,idadi ya channel na bei kwa ujumla:- 1-DSTV BOMBA PACKAGE Ina channel 65+ bora Bei mpya ni Tsh 19,000 Bofya...
Share:

Oct 1, 2014

DSTV BOMBA PACKAGE | CHANNELS 65+ | TSH 19,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Bomba FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SINEMA Movie Zone Africa Magic...
Share:

Jan 26, 2014

DSTV COMPACT PLUS PACKAGE | CHANNELS 90+ | TSH 109,000

Zijue Channel zilizo kwenye kifurushi cha DStv Compact Plus FTA KBC CITIZEN TBC STAR TV CHANNEL 10 ITV Clouds Tv KTN News K24 Bukedde Tv WBS NBS Tv e Tv Africa Dish MICHEZO SuperSport Blitz SuperSport Select1 SuperSport 2Select SuperSport 3 SuperSport 5 SuperSport...
Share:

#FundiKalipua

Najivunia Tanzania yangu




Powered by Blogger.

Fanya kuni Follow Instagram

YOTE YANAYOHUSU VING'AMUZI TUKUTANE INSTAGRAM

Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...

Nitumie Email

Name

Email *

Message *

Idadi ya Watembeleaji

Slider

FAHAMU KWA KINA: Kifaa kinachopokea matangazo ya Digital kinaitwa KISIMBUZI sio KING'AMUZI..

Culture

Wisata

Favourite

Event

Gallery

News Scroll

USHAURI | MSAADA KIUFUNDI | KUNUNUA WHATSAPP +255755949413